Kile kipindi cha kipuzi Kwenye Orijino komedi TBC1 Umefulia kilidhalilisha wengi sana.
Mpoki alimuigiza Kama Jengua Muhammed FungaFunga eti kafulia. Huku Joti akimfuatafua na maswali kwanini...
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini?
A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana...
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja...
Naona kabisa Lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua.
Hata Mboso aliyemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali.
Sisemi ni msanii mbaya...
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba...
Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club...
Subhash C. Patel was born in Dar-Es-Salaam, Tanzania, on August 13, 1946. He received the B. Tech. degree in electrical engineering from Loughborough University, Loughborough, England, in 1968...
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona...
Wasalaam,
Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini .
Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram
"Ndugu @babutale...
Katika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata...