Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kifo cha msanii kanumba kimegubikwa na utata mkubwa. Riport ya postmoterm (iliyosomwa na daktari kwenye hearing ya kesi ya Jamuhuri v/s Lulu) haioneshi kama Kanumba alikutwa na aina yeyote ya...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, (Lulu) imeendelea leo katika mahakama kuu jijini Dar es salaam, ambapo upande wa utetezi umeshindwa kuendelea...
1 Reactions
110 Replies
26K Views
Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Kautafiti kadogo nilikofanya chinichini kanaonyesha kuwa watu wengi maarufu hapa nchini ni "pipiro" aka andunje... yaani ni wafupi wa kimo. Ukianzia kwa wasanii wetu wa muziki, bongofleva...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu mwanamke sijui ni stress ama ni nini... Katika hali inaonesha kupanick au kutojiamini na anachokifanya, amekuwa akijibu tena kwa kejeli kila comment ya mtu anayemcriticise, hii ni baada ya...
3 Reactions
79 Replies
28K Views
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini...
3 Reactions
155 Replies
32K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Eat Africa radio na Tv, wamekuwa ni walimu kwa watangazaji wanaotoka pale yaani watangazaji wanatoka wamekwiva ki maadili hadi utendaji. Lakini ni kama swali...
5 Reactions
91 Replies
20K Views
MFAHAMU KWA UFUPI DONNIE YEN "wale wa season mtupishe kidogo" Donnie yen mcheza sinema maarufu katika tasnia hii ya filamu Duniani. Mcheza sinema huyu ambae amezaliwa 27/7/1963 jimbo la...
39 Reactions
130 Replies
20K Views
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali? Au ameajiliwa na...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
========= Jordan Strauss/Invision/AP Chadwick Boseman, star of “Black Panther,” died on Friday after a four year battle with colon cancer, his rep confirmed to Variety. He was 43. Before he...
19 Reactions
156 Replies
18K Views
hivi ni kweli hii dunia imekwenda hivi??
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Wakuu Wasanii wa Nigeria ni watu wenye akili sana ukitaka kujua hilo angalia muziki wao unavotamba dunia nzima. Angalia nyimbo zao hata hapa Tanzania zinavopendwa hata club zinachezeka tofauti...
19 Reactions
111 Replies
8K Views
Je huu ni uzuzu, uzezeta, au ulimbukeni? Kwani umaarufu mpaka utoboe masikio na kuvaa heleni? Haya, hiyo haitoshi sasa wasuka twende kilioni na mkorogo wapaka. Acheni hizo bana, mnatudhalilisha...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu wa humu jamiiforums Picha hapo chini ni mwana mama Zamaradi Mketema (Kushoto) pamoja na Sonia binti wa Monalissa Cherrie (Kulia). NB: Mimi Infantry Soldier sio msomaji sana...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Naona jamaa hataki utani amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na ninachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yeye #Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Umofia Kwenu wana JF, Imeniladhimu nimuandikie waraka mfupi ndugu yetu Tonny Aka Tbway360 ili watu walio karibu nae au yeye akipitia humu JF aweze kuusoma.Nimeshawahi kukutana na Huyu jamaa mara...
9 Reactions
200 Replies
36K Views
Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala. Mwaka 2019...
7 Reactions
49 Replies
10K Views
Muimba taarabu anayezid kujiwekea rekodi mbalimbali Juzi amefikisha subscribers laki 5. Amefikisha watazamaji MILLION 55 YouTube. Amekuwa ontrending said ya mwezi sasa. EP yake inaongoza kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi huyu jamaa ni nani wana habari wanamhoji sana sioni ata cha maana anachozungumza mara kalewa Hivi waana habari wanakoswa kweli vitu vya kuhoji kwenye taifa hili hususani kwenye kipindi hiki...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Hivi hakuna uwezekano wao wakenya tubadilishane watupe msanii wao masauti.. Sisi tuwape lavalava,hamisa,harmorapa, Maana sioni wanachokiimba.. Huyu masauti ukimsikiliza anasound kama mbongo yaani...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…