Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.
Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.
Naerejea kwako Mrs. Grace...
Asaalam....
.
.
neno la kimombo "To be continued" lina maana "itaendelea" zipo video za miziki kadhaa neno hili lipo, nina shauku ya kutaka kujua nini tafsiri yake kwenye muziki husika! nini...
Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML...
Hello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa...
Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka:
"What you think I rap for, to push a...
Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo.
Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina...
Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ".
Mb Dogg aliishia wapi?
Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize...
Mwana FA na AY baada ya kujitoa ECT walikua wanaachia pini juu ya pini kali tupu.
Mfano hii Pini ya Usije Mjini, dah ilikua inanikosha sana kuanzia biti hadi AY anavoimba na FA kuchana.
Kuna...
Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya...
Habarini Wana jamvi...?
Aise inapofikia swala la mtu kupewa heshima haina budi kumpatia heshima yake, yaani kwa anachokifanya Zuchu kwa Sasa haina haja ya kusimuliwa ili uamini, maana kafanya...
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na...
Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku.
Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo...
Kwa wafuatiliaji vyombo vya habari na wasikilizaji wa habari lakini pia wanaofuatilia kuwafahamu watangazaji jina la Khalid Gangana sio geni masikioni mwao na machoni mwao.
HISTORIA YA KHALID...
Wadau,
Huu ni uzi wa swali.
Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere...
Nawasalimu wote!
Kuna msemo "we are what we are because of other people"
Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.