Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nani mkali wakifanya mziki wa RnB kati ya The Weeknd na Justin Biber? Nani anahit hatari zaidi?
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo. Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nikisikiliza hii DNA,All star akiwa na SZA,Humble,Loyality ft Rihanna,Element,Bitch don kill my vibe,Bad Blood akiwa na Taylor Swift.... Yupo wapi Kendrick Lamar? Mwana Hip Hop ambaye kwangu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19? NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na...
16 Reactions
99 Replies
10K Views
Movie ni moja ya burudani na umaarufu wa movie hupelekea umaarufu wa ma celebrity pia. Hizi ni baadhi ya movies ambazo nadhani pengine mimi au watu wengine wanazifahamu na hazitowahi kutokea...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano mingi ya kampeni na bahati nzuri mahasimu wawili kwenye mziki wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) wamekuwa wakikutanishwa kwenye jukwaa moja lakini ukiangalia...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa...
15 Reactions
39 Replies
4K Views
Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mpaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina...
4 Reactions
52 Replies
7K Views
B. Dozen kuondoka Clouds wengi wanadhani ni sababu za marupurupu au kumsifia Diamond waziwazi ila ukweli ni kuwa chokochoko zilianza mwaka juzi baada ya marehemu Ruge kumchukua Kennedy toka East...
51 Reactions
173 Replies
39K Views
John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefanikiwa kufikisha followers million 10 katika mtandao wa instagram. Diamond ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo Afrika mashariki na...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Mkali wa Muziki tokea nchini Nigeria 🇳🇬 @davidoofficial , amewashukia Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram kwa kusema kuwa wanaungana ili kutaka kushinda nae Lakini hawatoweza kufanikiwa kwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu dada hajawahi kukwama kwenye kutoa ngoma kali zenye ujazo na ujumbe conki huku zikiambatana na beats kali na melody classic. Sio kuwajaza misifa akina zuchu kila uchwao kwa promo za kuforce...
12 Reactions
51 Replies
5K Views
Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom