Wale Chawa wa WCB Teza zimetoka ngapi?
Janja Janja Media, Kiki ya Teza ilibuma na Kiki ya kulipia watu Kodi pia ilibuma
Teleza na Teza toka Wasafi Media
Kuna artists wawili wakali sana, Ila kwa sasa takribani miezi kadhaa huyu akichia track moja mwenzie atafata soon na vijembe juu
Namuongelea Young lunya na Young killer Kuna vijembe wanatumiana...
Habarini wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya.
Hii imetokea Leo Zanzibar ambapo Zuchu bin kopa Kama The Best female east Africa musician alipotoa performance Kali sana pale viwanja vya mnazi...
Wataalamu wa muziki ebu tukutane hapa kidogo.
Hivi kati ya Star Boy Wizkid na Davido nani zaidi kwenye nyanja ya muziki wa Afrika na kuvuka boda huko(U.s.a,U.K n.k)
Wizkidayo au Davido?
Msanii Nandi alipopanda Jukwaani wala Mheshimiwa Rais 'hakushoboka' nae mpaka pale Nandi Yeye kama Yeye alipoamua 'Kujipeleka' Kwake ili avalishwe 'Kofia'. Lakini kwa Msanii Zuchu Yeye alipopanda...
Hey Hey!
Note: COVID-19 is REAL
Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza.
BACK TO THE TOPIC.
Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe...
Wasalaam!
Jumapili tulivu kabisa, nime "tune" Wasafi TV , kumcheki ndugu yangu masanja kwenye Wasafi Sunday worship, nakutana na "Pisi" moja kaliii sanaaa! tena yenye mzigo heavy heavy, naona...
Karibuni clouds wamekuwa wakiandaa show na wasanii kutoka nje ya nchi.
Kimbembe kimekuwa kikijitokeza kwenye interview na wasanii hao kwani jina la Diamond limekuwa haliepukiki.
Juzi juzi...
Habarini Wana jamvi?
Niende moja kwa moja kwenye topic. Kiukweli kitendo Cha Pancho boy kimenisikitisha sana nikiwa Kama mmoja wa wadau wa nguvu kwenye jukwaa hili pendwa la macelebrity...
Mashabiki wa Msanii wa muziki wa BongoFleva, @iambenpol wamekuwa na shauku ya kutaka kufahamu iwapo msanii huyo amefunga ndoa na mpenzi wake @anerlisa kutokea nchini Kenya.
Katika mitandao...
SIKU chache baada ya minon'gono kuibuka chini chini kuwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania ambaye pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha, kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mchungaji wa...
DJ Fetty anawa ‘matatizo’ ya Godzilla, aomba asilaumiwe.
Aliyekuwa Mtangazaji na mchezea santuri wa Clouds Fm Radio, DJ Fetty amejitenga na lawama zinazotolewa na mashabiki kwenye mitandao ya...
Jamani habarini Wana jamvi
Kiukweli sina uteam wowote ila ni mzee wa fact, kutokana na Jana kwenye uzinduzi wa kampeni mkoani Mbeya hii imejidhihirisha wazi kuwa Alikiba amezeeka na amepitwa na...
Anatumia muda mwingi kuangalia kazi za wenzake ili apatemo cha ku-Copy. Msanii wenu kaishiwa mashairi sa hizi kachificha kwe vikolabo uchwara na Zuchu
Kwanini anawatelekeza Lavalava za Queen...
Habari wana.
Nimenukuu huu mstari kutoka katika wimbo wa Fid Q Sumu. Unasema"Hawaamini kutengeneza Kiba ama Diamond wawili wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dili"
Tasnia yetu ya...
Turelax kidogo alafu tupunguze stress.
Kisha sikia hii
Kama maisha yangekuwa movie nadhani kuna baadhi ya mambo yangekuwa mepesi kwako kuyafanya na ungefurahia sana kuwa katika maisha ya kimovie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.