Hiv karibuni wasafi FM ilifungiwa kutokana na kosa la Baba levo kuongea lugha fulani ambayo sio nzuri kwenye kipindi. Baada ya media kufungiwa boss wao Diamond Platnumz ndo kwanza akawapeleka...
Hii ni kwa wale wapenzi wa muziki mzuri, hawa wote wanafanya Vizuri.
Wizkid nyimbo zake(na alizoshirikishwa kama, sound it, ojuelegba, NOWO)
Davido pia unaskia kwenye FIA, FALL, IF, na nyingine...
Nakumbuka kwenye moja ya tukio niliona ukimuenzi Marehemu Dr Remmy. Hiyo ni sawa kabisa ila pia kwa upande mwingine kuna Marehemu Halila Tongolanga ambaye umerudia moja ya wimbo wake maarufu wa...
Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza.
Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi...
Narudia wanawake wote duniani ni Freemason walio ktk madaraja au vyeo mbalimbali ila wanaume ni wachache na ndio hao wenye vyeo na umaarufu
Mwanamuziki Diamond mwanzo hakuwa Freemason ila...
Siku za hivi karibuni mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya ccm Mh Magufuli amewatunukia nishani mpya ya Kofia baadhi ya wasanii kama ishara ya kuthamini mchango wao kwenye jukwaa la kampeni...
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye...
Kuna uzi wa kupotosha umefunguliwa ukilenga kupotosha watu dhidi ya wimbo wa msanii Diamond uliotolewa hivi karibuni na naona unazidi kupata umaarufu mkubwa hapa jukwaani.
Na wachangiaji wake...
Habari nzuri,
Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.
Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo...
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.
Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na...
Toka Clouds Tv wamerudi toka kifungo cha wiki moja simuoni Baby Kabae na Sam Sasali katika kipindi chao cha asubuhi -- Clouds 360.
Je, wameondoshwa kwa maslahi ya umma?
Naona nyota ya huyu binti Ni Kali si mchezo tangu atambulishwe kwenye game haizidi hata miezi 6 ngoma zake alizoachia zimempa nominees kwenye tuzo za Afrimma kuania kwenye vipengele viwili Cha...
Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii...
Wasanii wawili waliokimbia label ya king's music ya Alikiba, Cheed na Killy hatimaye wametambulishwa rasmi katika label ya Kondegang ya Harmonize.
Kwa sasa label hiyo ina jumla ya wasanii 5 tangu...
Wasalaam wadau natumai mko salama kabisa..Direct to the point.
Dj wa Clouds Media Group(CMG) Bwana Omary Said aka Dj D-Ommy,The International DJ,Mr.Washawasha,Jitu nene.Chalii mwenye mikono yenye...
Hatimaye mchezaji wa mpira wa migiuu wa timu ya Juventus ya Italia hatimaye amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Georgina.
Pete hio ya almasi ina thamani ya pesa za kitanzania Bilioni 1.8.
If...
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancers[emoji23]nimeshindwa kuileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.