Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.
Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta...
Sasa wale ma slay queen itakuaje jamen ?, nawaonea huruma akina huddah, tontoh dikeh, bobrisky, vera sidika and the rest, wamekula sana ma millions ya huyu jamaa in Dubai . Ila tuseme tu ukweli...
Salaam wana jamvi.
Toka muziki wa singeli umeanza kuwaingia vichwani na masikioni Watanzania, kumekuwa na ujio tofauti tofauti wa wasanii wa singeli lakini ni ukweli ulio wazi Msaga Sumu alikaa...
Mwijaku wakati akihojiwa na bongo five leo amesema Hamisa Mobetto anajitambua sana ndio maana kuna watu wakimuona wanatetemeka mikojo inawatoka mpaka wengine wanajinyea kwa kuomuona Hamisa...
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show...
Unaikumbuka Filamu ya Home Alone? Mhusika mkuu wa filamu hiyo Macaulay Culkin ambaye aliigiza kama "Kevin McCallister" kwenye filamu hiyo amefikisha umri wa miaka 40.
" Hello Unataka kujua kama...
Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha...
Kwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan
2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza
3. Blondon lee huyu alifariki wakati...
Dar es Salaam.
Ashiraf Geuza maarufu' Uchebe' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed maarufu 'Shilole' na kumsababishia maumivu makali...
Habari zenu wakuu,
Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku.
Nimebahatika kusikiliza interview ya...
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati.
Zuchu pia ana...
KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA:
Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha...
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza...
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani, huyu naona hawajui wabongo vizurI , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair. Hizi Show off zake...
Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu.
Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwenye pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza...
Naam
Huyu dada huwa namkubaii sana wakati wa usomaji wa Taarifa ya habari pale ITV.
Anajiamini na uwasilishaji wake wa habari ni mzuri kwakweli
Kwangu Mimi namuona inafaa sana BBC Swahili...
Habari za saa hizi wakuu,
Huyu kijana kutoka West Africa Nigeria.
Kuzaliwa: 5 February 1996
Mahali alipozaliwa: Abeokuta Nigeria
Nyimbo
1: Jealous 2019
2: King 2019
3: What if I say 2019
4: You...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.