Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari.
Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid...
WanaJamiiForums habari za mchana,
Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo..
Picha zaidi...
Nilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani.
Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa...
Ujio mpya wa muimbaji wa Rose Muhando umefufua matumaini mapya kwa washabiki wake ambao walikosa matumaini baada ya muimbaji huyu kupitia misukosuko mingi ya kimaisha na kijamii.
Akiwa katika...
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake...
Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu...
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Salama Jabir akipiga story na Fatuma Karume.
Wamezungumzia mambo mengi ila mimi kwangu hasa nilichokiona kwa Shangazi ni kwamba ni mtu ambaye hana furaha...
Naitwa Don Nalimison, Mwanamziki na Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Mambo ya Kiusalama Duniani.
MBINU AMBAZO MISS TANZANIA ANAWEZA KUSHINDA TAJI LA MISS WORLD 2020...
Wasalaam wana jf...
Pamoja na muziki wa bongo fleva kukuwa kwa kasi kubwa sana tena sana na kuzalisha fursa kila leo lakini kwa sasa umekuwa mgumu sana tena sana.....Wasanii kutoa nyimbo nzuri za...
Habari wadau,
Mimi mshabiki sana wa Bongo Flavour na nafurahi sana kuona wasanii waliokuwa pamoja wanazeeka pamoja kama marafiki au hata jamaa japo maisha yanatutenganisha.
MwanaFA na Sugu...
Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda...
I am not talking about who was wrong and who was right. Nazungumza kuhusu " teke" kama teke.
Provided all other factors remain constant.
Teke la Adamu Mchomvu ni la kichovu sana.
Kwanini?
1...
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa...
Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga...
✓Hii ni kutokana na taarifa za kutoka chanzo Cha habari kikubwa nchini marekani(USTOLD) kumtaja diamond platinumz Kama miongoni mwa nguli wa muziki wanaotarajiwa kushiriki kwenye wimbo na album ya...
Jana mitaaa ya Kinondoni nimekutana na Pauline Zongo akiwa kachoka sana saa 4 asubuhi kalewa chakari na ana mwonekano kama kachoka inasikitisha sana......
Nadhani anahitaji msaada wa hali ya...
Ni Dj gani umkimsikiliza redioni playlist yake huwa haikuvuti unaona anashusha madodo tu, au ikiwa Club siku hiyo unaona bora unywe urudi home ulale au uende joint ingine kwasababu nyimbo...
Hapa ninasikiliza interview ya Dr. Abbas msemaji mkuu wa serikali XXL, kwenye play list yake kachagua goma la Tshirt na Jeans, nikakumbuka hawa jamaa wa University Corner. Baada ya kutoa album...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.