Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha...
Maskini vijana wa watu wakishinda bss tukiwaona mtaani bado hali zao za uchumi zimeyumba zinaanza stori kwamba wamefanyia hela umalaya, ulevi au starehe za kipuuzi, Kumbe hakuna kitu kama hicho...
Baada ya Shilole kuja public kulalamika kuwa amepigwa na mumewe Uchebe binafsi niliona Kama ameonewa na karibia watanzania wote tukaamini hivyo.
Leo wakati nimepitia YouTube kuangalia shows za...
Habar wakuu kwema hukooo tanzania
Mimi ni mzima moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu
Mim ni mdau makini wa mziki wa kisasa hakuna jambo linalonipita kimya kimya nipo faster sanaa...
Mwigizaji wa zamani wa filamu za watu wazima Mia Khalifa akizungumza na BBC HARDtalk, alisema kuwa familia yake haikuwa na wazo juu ya ushiriki wake katika tasnia ya ponografia hapo awali...
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe
Mwenye kujua zaidi atuhabarishe...
Aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi TV na Wasafi FM Fatma Abdallah almaarufu Kungwi mkata shombo amefariki dunia mchana wa tarehe 15/08/2020 hospitali alikokua amelazwa baada ya kuugua kwa muda wa wiki...
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya...
Sijui hata nimewaza nini!
Katika pita pita zangu leo, nikanyapia ukurasa wa Cristiano Ronaldo. La haula! Nikakutana na nilichokiona, mateso ya wivu yakaujaa moyo wangu.
Watu wanakula maisha...
“Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea...
Mtangazaji Adam Mchomvu ameelezea kilichotokea stejini kati yake na msanii Mbasha. Mchomvu amesema kilichofanya ampige mtama Mbasha ni kutokana na kumdhalilisha jukwaani kwa kumuita mvuta bangi...
Huwa najiuliza Maswali mengi sana juu ya huyu Msanii ' Bwana Mdogo ' Dogo Aslay hasa kwa tabia yake ya kila akiwa anaimba ama iwe ni Jukwaani ' Mubashara ' au katika Nyimbo zake zilizorekodiwa (...
Tumeanza Rasmi Kampeni Yetu Ya KAKA_TUCHATI VENTILATOR_CHALLENGE Tunaomba Mashabiki Zetu Mkawe Sehemu Ya Kampeni Hii Kufanikisha Zoezi la Kupata Pesa Itakayoweza Kununua Ventilator Machine...
Wadau poleni kwa majukumu. Kuna picha mitandaoni inayomwonesha muimba nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha akiwa beach (nadhani), amevaa taulo tu huku sehemu ya boxer ikionekana.
Wachangiaji...
Hii ni kutokana na SMASH HIT yake ya AMABOKO kushika namba moja katika chat za MZIKI APPLE, Africa now na kuwa msanii namba moja Africa mashariki.
N.B: number don't lie, it's just a fact only.
Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi.
Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu...
Mtangazaji tajwa hapo alikuwa ni mtangazaji mahali na mweledi sana katika kazi yake. Tume - miss sauti yake kwa muda mrefu sasa, yeyote mwenye kujua alipohamia au alipo atujuze tafadhali.
Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.