Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa. Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima...
9 Reactions
134 Replies
22K Views
Aslaam aleikyum wanajamvi, Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wanafamilia wote wa CMG kwa kuondokewa na Watu wawili muhimu (Ruge&Kibonde), kazi yake mola haina makosa. Let me back to the...
11 Reactions
115 Replies
64K Views
Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je, anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE?
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Hakuna kubadili gia, Hakuna kupoteza nia!Dada mkuu Jide Jay Dee amedhamiria kuongeza volume Clouds FM ndani ya Amplifaya na Mtu wako wa nguvu, Mr.Countdown Millard Muyenjwa Laizer Ayo, Teh teh...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WAKATI Siku ya Wapendanao — February 14 mwaka huu — inakaribia, staa wa filamu, Elizabeth Michael Lulu, amekuja na jambo jipya; anauza nguo zake na viatu ambapo pesa atakayoipata itakwenda...
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford, amesema kutokana na uzuri alionao, anaamini mwanaume anayetaka kumuoa kwa sasa anapaswa kutoa mahari ya shilingi...
3 Reactions
205 Replies
28K Views
Wallah Huyu Dada Anapika na Ni Hardworking (Kwa Hill Namsifu)Then Pamoja Na Ubonge Wake A see Anajua Kucheza Muziki Mzuri... Let's get back to the point, ananiudhi huyi huyu Dada,You know kuna...
6 Reactions
54 Replies
12K Views
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo Inawezekana...
7 Reactions
95 Replies
12K Views
Nimepokea kwa Mshituko mkubwa Kifo cha Mzee Mabrook maarufu.Babu Njenje kilichotokea usiku wa kuamkia leo ====== Mkongwe wa Muziki wa Mduara MZEE NJENJE, aliyekua mmoja wa wanaounda Kundi la...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi...
6 Reactions
41 Replies
8K Views
Ukiangalia kipindi cha kusoma magazeti Wasafi TV kwakweli ndugu Maulid Kitenge unaboa sana na hivyo vituko vyako. Yani umekuwa kama MC Pili pili hebu acha huo upuuzi. Ulikuwa mtangazaji mzuri...
31 Reactions
81 Replies
10K Views
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi.. Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichani Hapa akimjibu...
11 Reactions
201 Replies
41K Views
VideoFUPI: Je Diamond katimiza ahadi yake Moja kati ya stori zilizoingia kwenye headlines siku ya February 1 2016 ni hii ya msanii wa Bongofleva na CEO wa record label ya Wasafi Classic Baby...
3 Reactions
98 Replies
19K Views
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI. Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Huku Mjadala Ukiendelea humu JF kati ya Rosa na Chemical nani Mkali, Rosa Ree usiku wa leo amedrop kichupa cha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rapper Kutoka South Afrika Emtee... Kitazame...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Si vibaya kujikumbusha na pia kufahamu wako wapi na wanafanya nini sasa katika maisha yao. Je kuna chochote cha kujifunza kutoka katika maisha yao? Je warembo wetu walifika wapi na wako wapi...
4 Reactions
233 Replies
174K Views
1. FA 2. Mwasiti 3. Belle 9 4. Joh Makini 5. Rayvanny 6. Mo Music 7. Abdukiba 8. Lady J Dee 9. Prof Gizze 10. Dayna Nyange
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Imekuwa kama fashion, sasa sijuii ni kweli au ndo muendelezo wa kina baba kutengwa kwenyw kula mema ya watoto wao? jana nilikuwa na sikiliza kipindi cha the switch wasafi pale kwenye segment ya...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom