Habari wakuu.
Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu.
MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group...
Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji.
TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa...
Miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni kuliibuka vichwa hatari sana kwenye muziki wa Rap/Hiphop, hiki binafsi nakiona kama kizazi cha dhahabu kama ilivyokuwa timu ya Barcelona iliyomtetemesha SAF...
Wakuu kama kichwa kinavyooleza hapo ugomvi wa Komando huyu wa kike kwenye tasnia ya burudani ya Muziki wa Bongo Fleva umezikwa, leo tangu asubuhi bandika bandua ni ngoma tu za Lady Jay Dee...
Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu
Nashauri nafasi za...
Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje?
Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.
Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi...
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua...
Wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya Diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo huko Arusha, promota anadai alimlipa Diamond advance...
Aman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Nina shida sana na huyu ninja mtu mpambanaji sana kidbwoy
Je office yake iko wapi hapa mwanza
Na huwa anapenda kukaa wapi na...
Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019
Rihanna...
Hawa vijana ni kutoka rFa Redio free Africa ni watangazaji wa michezo wazuri
Wanafaa sana wakiungana katika kipindi cha sport arena wasafi fm
Michael Noel
Gwamaka Francis
Exalioth
Machinga...
Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.
Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo...
Wasalaam wana jamvi!
Baada ya msiba wa Rais mstaafu tulitegemea wasanii wetu ndio watoa faraja wakuu katika kipindi cha maombolezo kwa tungo nzuri zenye mantiki na maana kuu.
Baada ya msiba...
Ni takribani wiki na ushee sasa Master Jay kakaa kimya sana na page zake za mitandao ya kijamii zipo kimya zaidi ya wiki.
Master Jay ni msomi mwenye degree ya Uingereza katika fani ya uhandisi na...
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.