Siku saba sasa zimepita tangu huyu binti menina ambaye ni msanii, mc, mwalimu wa madrasa na mchekeshaji lakini pia ni professional commercial Hawks, kutupia mitandaoni picha zake za uchi akiwa...
Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu...
Wazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba Asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo,
Sasa mimi huwa sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya...
Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond
alizawadiwa na Menejement yake
Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wake
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema party
hiyo iligharimu...
Wajumbe?!
Nimeguswa kuandika hii thread, ukizingatia leo tunampokea Tundu lissu niliyempa jina la "Muujiza unaoishi".
Natambua sana kuwa wanawake ni wavumilivu sana sana hasa kwenye shida ngumu...
Nimeona makada mbalimbali wa CCM wakiwemo wasanii wakiripotiwa kuchukua fomu za ubunge katika majimbo mbalimbali na viti maalumu.
Katika wasanii ambao nilitarajia kukutana na picha ama taarifa...
Kwa wakazi wa Kinondoni, Tunaomba Mtukumbushe kadri mtakavyoweza, Uwezo na Matukio Aliyoyafanya Juma Ngedere, Kipindi chote Alichovuma Katika Michezo ya Kujihami... Historia yake na Alipo sasa...
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao...
Quest in 2014
BornRichard Austin Quest
9 March 1962 (age 57)
Liverpool, Merseyside, England
NationalityBritish
EducationAiredale and Wharfedale College
University of Leeds
Vanderbilt...
Huyu jamaa nakumbuka kipindi kile ITV alikuwa fundi Sana wa kuvaa uhusika aling'aa Sana na kina dokta cheni, sijui siku hizi yupo wapi na Kama ameachana na Mambo ya Sanaa maana hata kwenye movies...
Mmeyasikia fezzakessy anayo yasema uko insta kwamba yeye ni mzuri kuliko beyonce,beyonce kamzidi pesa na kuimba ila kwa uzuri ata subiri sana
Fezzakessy anadai yeye ni mzuri kuliko wanawake wote...
Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen...
Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’
BAADA ya madai kusambaa kuwa mrembo anayetingisha jiji kutokana na umbo lake namba nane, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametengeneza umbo nchini Afrika Kusini na...
Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume.
Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na...
Zuhura Kopa ajulikanaye kama ZUCHU, juma moja lililopita alifanya show Mlimani City hall, ilikuwa mbaya lakini kwa kuanzia siyo mbaya kwakuwa kila mtu huanzia chini na kupanda polepole.
Vijana wa...
Pamoja na kwamba uhusiano wako na majirani haukuwa muhimu sana kwako, kwani una vijihela na connection, ulitumia pia ushawishi wako kuzuia nyumba yako isibomolewe kupisha ujenzi wa barabara wakati...
#KimKardashian has finally broken her silence about her #husband #KanyeWest's recent rants on #Twitter.
==
Kim Kardashian has finally broken her silence about her husband Kanye West's recent...
Kuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.