Habarini wadau,
Katika filamu ambayo niliipenda sana na kuangalia kwa zaidi ya mara 2 au 3 ni pamoja na TERMINATOR 2, The Judgement Day.
Kuna huyu Dogo aliyeitwa John ambaye alipenda sana...
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye...
Mwigizaji Stevie Lee ambae alinogesha sana filamu za Jackass 3D na Death Match amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 54.
Stevie Lee ambaye pia ni Mwanamieleka Los Angeles Marekani amefariki...
OK
Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui...
Habari wanajukwaa.
Mara kadhaa kupitia kwa watu, mitandao ya kijamii na redio, nimekuwa nikilisikia sana jina la mwanadada aitwaye Beatrice Ndung'u, likitajwa sana katika ulingo wa burudani. Je...
Salaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.
Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu'...
Wana JamiiForums,
Nimewaza sana lakini nimeishia juu juu sijaenda deep sana kwa mawazo yangu.
Swali: Ninalojiuliza ni kwamba
Mtu anapata vipi pesa au anakua vipi tajiri kutokana na u-famous au...
Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaakitoka na demu wake safiMara mwonekano unabadilika
Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla...
Mi sielewi hizi media zetu kubwa ambazo zimeonekana kususia kupiga nyimbo za WCB, kama Diamond ndio kawakosea ni kwanini wasimpe adhabu yeye? Hawajui kama wanawakomoa kina Mbosso,Lavalava na...
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??
Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu...
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha...
Wasalaam wanajamii
Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists)
1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri ...
Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati.
Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi...
Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake..
Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya...
Wakuu Salaam;
Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani.
Kila mwishoni mwa...
Jumapili iliyopita wananchi walikua na Jambo lao pale Mkapa stadium,.wasanii kadhaa waliimba mbele ya wananchi.
Lakini alipokuja harmonize alijaribu na akafanikiwa kwa asilimia nyingi kuonesha...
Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki...
Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.