Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wadau, Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana; 1.Diamond na Ali Kiba 2.Fid Q na Joh Makini 3.Kala pina na wasanii wote [emoji23][emoji23] 4.Sister P na Zay B 5.Wanaume...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Zama zile za miamba ya nguvu, mapawa walitikisa hasa, miongoni mwao alikuwepo Pawa Mabula, Pawa Mwanakulya na wengine wengi. Pichani ni tangazo la Pawa Mwanakulya
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua...
8 Reactions
153 Replies
17K Views
Habari wana JF Nadhani tuna haja ya kujadili mambo ambayo wasanii wetu wanayafanya ambayo kwa kiasi kikubwa yanaharibu utamaduni wetu na yatapelekea vizazi vijavyo viyaone ni ya kawaida...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninaweka kama kumbukumbu tu !! Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
3 Reactions
45 Replies
10K Views
Ali Kiba akifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa tv ya mtandao kuhusu matokeo ya mtihani ya mtoto wake wa kwanza amedai amepata daraja la kwanza huku akipata A zote lakini watu hawajui sababu...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakati wa uhai wake Jade alibahatika kupata watoto wawili na mtangazaji wa TV Jeff Brazier. Mtoto wao wa kwanza Bobby Brazier ni mwana mitindo sasa. Jade alifariki kwa cancer ya uzazi ambayo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu producer alikuwa mkali sana aligonga ngoma kibao kali hasa za Nako 2 Nako kama mchizi wangu na nyingine. Pia aligonga kesha kama CNN, na speed 120. Mara ghafla akapotea na studio aliyokuwa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Shoga Maarufu kutoka pande za Nigeria [emoji1184], Idris Okuneye maarufu kama BOBRISKY, leo amewashangaza followers wake karibia mil 2.7 baada ya kumpost mtu aliyesema kuwa ndiye boyfriend wake ...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
#Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them 1. Sugu ( Joseph Mbilinyi) - Mkinga 2. Professor Jay (Joseph Haule ) - Mngoni 3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) - Mkurya 4. Inspector...
7 Reactions
328 Replies
117K Views
My girl is beautiful, but Esther your beauty is too much. Nicheki inbox please, Nina salamu zako. Or kama kuna MTU ana namba yake, naomba msaada anipatie.
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm). Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache...
14 Reactions
126 Replies
16K Views
nakiri huyu jamaa ni mwandishi mzuri wa filamu lakini natamka rasmi kuigiza jamaa hawezi kabisa na aache kabisa kuigiza abaki tu na kazi ya uandishi wa filamu za kibongo. hivi karibuni...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee...
1 Reactions
54 Replies
24K Views
Mmh za chini chini zinadai hilo duka sio lake, jina tu limetumika, tunda hana ubavu wa kufungua duka kama hilo, wanazengo wanasema duka ni la Fred vunja bei . Huyu fred nae anawachezea wasanii...
10 Reactions
79 Replies
13K Views
Hii kauli huwa naitafakari sana, hivi Hamisa akili zake sijui zipo sawa kichwani yaani anapenda kumpa Diamond power kwenye maisha yake utadhani yeye Ndio Mungu wake. Mtu hajawahi kuwa your...
13 Reactions
49 Replies
6K Views
Inasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason
5 Reactions
109 Replies
27K Views
Linah apokea kichambo kwa picha hizi Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa. Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau...
10 Reactions
263 Replies
56K Views
Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani. Akipiga stori na eNewz...
3 Reactions
19 Replies
9K Views
Video mpya ya kundi la muziki kutoka Kenya Sauti Sol ft Patoranking 'Melanin', imefungiwa na serikali ya nchi hiyo chini ya bodi ya filamu Kenya (Kenya Film Classification Board KFCB) Mkurugenzi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom