Wakuu habari zenu.
Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo.
Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja...
Nikisikiliza hii DNA,All star akiwa na SZA,Humble,Loyality ft Rihanna,Element,Bitch don kill my vibe,Bad Blood akiwa na Taylor Swift....
Yupo wapi Kendrick Lamar? Mwana Hip Hop ambaye kwangu...
NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19?
NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na...
Movie ni moja ya burudani na umaarufu wa movie hupelekea umaarufu wa ma celebrity pia.
Hizi ni baadhi ya movies ambazo nadhani pengine mimi au watu wengine wanazifahamu na hazitowahi kutokea...
MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani...
Nimekuwa nikifuatilia mikutano mingi ya kampeni na bahati nzuri mahasimu wawili kwenye mziki wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) wamekuwa wakikutanishwa kwenye jukwaa moja lakini ukiangalia...
Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama ..
Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa...
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mpaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina...
B. Dozen kuondoka Clouds wengi wanadhani ni sababu za marupurupu au kumsifia Diamond waziwazi ila ukweli ni kuwa chokochoko zilianza mwaka juzi baada ya marehemu Ruge kumchukua Kennedy toka East...
John Lester Nash-1940-2020
Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni...
"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika...
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefanikiwa kufikisha followers million 10 katika mtandao wa instagram.
Diamond ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo Afrika mashariki na...
Mkali wa Muziki tokea nchini Nigeria 🇳🇬 @davidoofficial , amewashukia Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram kwa kusema kuwa wanaungana ili kutaka kushinda nae Lakini hawatoweza kufanikiwa kwa...
Huyu dada hajawahi kukwama kwenye kutoa ngoma kali zenye ujazo na ujumbe conki huku zikiambatana na beats kali na melody classic. Sio kuwajaza misifa akina zuchu kila uchwao kwa promo za kuforce...
Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa...
Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza...