Mmarekani mweusi Nick Cannon (39) ambaye anafahamika zaidi kama muigizaji, mchekeshaji na mtangazaji ametuhumiwa kwa ubaguzi baada ya kuwafananisha wazungu na wanyama
Kupitia kipindi chake...
Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao...
Sijui hata nimewaza nini!
Naiona nguvu kubwa ikitumika kumtambulisha mmiliki wa CMG Bwana Joe Kusaga, ni kama Mkurugenzi mpya vile kumbe ni yule yule aliyekuwa tangu kuasisiwa kwa kampuni hiyo...
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu...
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si...
#JenniferLopez went out #east but her plans went #south. The “#Dinero” #singer was all set for a beach day in the Hamptons this week when she was left #stranded after her #transportation was...
Come easy go easy..... Hakuna mapenzi mpaka kufikia kuvishana pete ndani ya masaa 48 tangu kufahamiana... Hapo lazima mmoja apigwe
Wabongo muvi.. Mungu anawaona na ndio maana hata tasnia yenu hii...
Tangu harmonize aitambulishe album yake ya afro east, tayari ameachia official video kwa takribani ngoma 7 youtube bt amekua na takwimu mbovu ukilinganisha na zuchu alie tambulishwa nyuma ya afro...
Habarini wanaJF.
Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira.
Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe.
SUED MWINYI
Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Rwanda Albert Nabonibo 35,amekiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja(Shoga).
Hii inamaanisha kuwa Nabonibo ameficha mahusiano yake kwa muda mrefu lakini...
Jamaa kasema yupo katika hatua za mwisho za kuachia albam yenye mchanganyiko wa nyimbo zake zote kali,
albam itakuwa na nyimbo 13 zikiwemo
1.KIKAO CHA FAMILY
2.NAJUA
3.MAMA WATOTO
4.SIO...
Waziri Mwakyembe jana akifanya mahojiano na TV ya mtandaoni kuhusu maoni yake kwa watangazaji kuhama vituo vyao vya kazi kila siku, Mwakyembe amesema Wizara inamalizia hatua za mwisho mwisho...
MUUZA sura macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye...
Video queen wa bongo fleva Tunda afichua ufaulu wake wa form four toufauti na watu wengi wanaodhani alifeli kwa kupata zero
Tunda akiojiwa na East Africa radio amesema alipata division two ya Mia...
Ameomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.
‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’
Kwa...
Wakuu,
Bilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ng’ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi
Waandishi wa habari wa Millard...
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi .
Akizungumza na...