Nikiwa kama mdau, ambae nimeanza ufatilia mziki wetu kwa muda mrefu sasa. Nanimekua mshabiki wa wasanii wengi toka game ya Bongo inaanza kolea mwaka 2001, No dhahiri na wazi kwa sasa hakuna msanii...
Namkubali bi dada so siri anapeperusha bendera yetu vyema kimataifa. Athante!
Haya wote tunajua amechumbiwa kwa sasa, Haya hongera binti. Utata ni nani aliyemchumbia? Why anafanya siri...
Nasikiliza matrack ya zamani hapa, wako wapi hawa wasanii waliotamba early 2000s?
-OCG wa Aquelina
-Caz T
-Pikko
-Solid Ground Family
-Noorah
-Spider
-Pasha
-Chelea Man
-Dataz
-Fresh P
-Marlow...
Habari zenu wadau wa Sanaa,
Kama hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa haya mambo anijuze jinsi wasanii wanavyopata pesa kupitia streams wakati hatulipii chochote zaidi ya MB tu.
Wanalipwaje? Pesa...
Habari wananzengo ,
Nimeona post ya Harmonize kuhusu kuwatambulisha wasanii WATATU (3) mwezi ujao (August) na kwa alivyoonyesha wawili (2) watakuwa watanzania ambapo mmoja Ni wa kiume na mwingine...
Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi...
Nikichukua fomu Kigamboni wala hata msiandae kura, andaeni masongi ya mazishi na rambirambi za kutosha.
Idris Sultan
Umemchokonoa Baba yake Kipenzi na akakutia 'Kimuhemuhe' hadi ukawa unatia...
Siku hizi Harmonize anautumia sana huu msemo..
Nimemuona akisema hivi kadhaa hasa anapoitwa kwenye Interviews zake.
Jana baada ya kupita pita mtandaoni nikakutana na video moja YouTube inayohusu...
Naona hili bifu kati ya Gigy Money na Nandy linazidi kupamba moto kila kukicha. Ila tuseme ukweli Nandy ana dharau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Gigy yupo busy kusema anamjua...
Wasalaam wanajamvi
Msanii Gigy Money hivi karibuni amekuwa akionekana kwenye media ya msanii Diamond Platinumz akifanya shughuli fulani ambayo mwanzo ilionekana kama ni serious lakini imekuja...
Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa...
By Sangu J
Nimeona madai ya Konde Boy Mjeshi, @harmonize_tz kuhusiana na kutokuwepo kwa Tuzo na kusema inafanya muziki wetu usipige hatua na ameeleza inafanya Wasanii wenye vipaji wasioneshe...
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku ya kutafuta riziki hasa kipindi hiki cha nchi yetu kuingia uchumi wa kati.
Kwanza nianze kwa kuweka wazi kabisa mimi ni shabiki...
Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye biashara ya madini.
Shilole amepost...
Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai.
Hayo...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho...
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani. Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti...