Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kana-Ka-Nsungu is back! nilienda bush kutambika na nimerudi na mengi sana kutoka huko tunapopaita nyumbani, nitakuwa nikiwamegea kidogo kidogo kadiri muda utakavyo ruhusu, kwa leo naomba tu na...
2 Reactions
46 Replies
13K Views
Live kutoka JNICC Tuzo za malkia wa nguvu zinazotolewa na Clouds Media na KCB tujiajiri program Mgeni rasmi ni Mama Getrude Mongela, na naona na watu mashuhuri kadhaa akiwemo RC wa jiji hili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
MARTIN F LAWRENCE. LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI. Msanii Joti amekuwa akionekana akiigiza nafasi mbalimbali na kuzimudu, kwa hilo namfananisha na Msanii genious wa USA, Martin F Lawrence aliyetamba...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae. Ilifika muda Shilole akataka...
3 Reactions
144 Replies
33K Views
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV. Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba...
1 Reactions
60 Replies
12K Views
ednesday, January 18, 2012 ........SHILOLE YUKO KWENYE WAKATI MGUMU........ 6:55 PM wajanjaclub MSANII nyota wa filamu Zena Muhamed ‘Shilole’...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume...
3 Reactions
82 Replies
19K Views
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Mwanamziki nguli wa muziki wa AfroPop Bi Patricia Majalisa kaaga dunia. South African disco queen, Patricia Majalisa, has died. In a message posted on the late Dan Tshanda’s Facebook page...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi. Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo...
5 Reactions
81 Replies
13K Views
Wakuuu habari za mida Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani. Sasa swala limekuja baada...
3 Reactions
75 Replies
13K Views
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani. Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye...
2 Reactions
102 Replies
11K Views
Licha ya kuwa Salama Jabir ni kati ya watangazaji wachache wenye mvuto na waledi kwenye career yake hiyo, Msanii wa hip hop, Nikki mbishi, amemvaa Mtangazi huyo mwenye hulka ya ki tomboy na...
21 Reactions
100 Replies
11K Views
Yametimia baada ya yule dada maarufu kwa kutembea na serengeti boys aka dogodogo kumpa kibuti kikali aliyekuwa mpenzi wake yaani Nuhu Mziwanda. Mtakumbuka mapenzi yao yalibamba sana hasa baada...
3 Reactions
181 Replies
57K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake...
3 Reactions
119 Replies
18K Views
Back
Top Bottom