Mwishoni mwa mwaka 2012 mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi hapa Tz maarufu kama Banza Stone alisikika katika kipindi maarufu kinachorushwa na mtangazaji makini Millard Ayo kupitia clouds fm...
Vile vikombe vilivyokuwa vinaibuka kila uchao siku hizi havisikiki tena,Si kwa babu,Tabora,Mbeya wala wapi sijui au ndo tunapisha bunge kwanza ndo viendelee?Au huduma imesitishwa?Mlioko kwenye...
Baada ya seven, Kiba atimua meneja wake mwingine
======
ALIKIBA ATHIBITISHA KUMTIMUA KAZI MENEJA WAKE WA KIKE, ATOA SABABU HIZI
‘Ni kweli sifanyi nae kazi tena. Ni taratibu za kazi, amekuwa na...
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake.
Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style...
Mambo 10 usiyoyajua kumhusu Bruce Lee
Wapenzi wengi wa filamu wanamtambua na kumuenzi sana marehemu mwigizaji Bruce Lee kutokana na weledi wake kwenye filamu na sanaa ya Kung Fu zilizowazingua...
Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile...
Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge.
Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia...
Mimi naanza na Wolper na Irene uwoya pia Lulu na Diana Kimario hawa watu wanapendeza sana wakiigiza pamoja movie inakuwa tamu sana wanavutia pia katika uigizaji kimavazi hadi uongeaji, kabla...
Wimbo huo unaelezea ubabaishaji na usanii unaoendelea kwenye industry ya mziki na siasa,Nash amekuwa ni msanii pekee wa hiphop mwenye itikadi kali na kusimamia misingi kwa muda mre
fu sana, bila...
I know of the year 2002 when the six kids were born to the family of Chris and the black couple Diamond Harris in Birmingham, USA? Do you still remember?
Okay, the children's ups are now very...
Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka...
Baada ya kelele nyingi za mashabiki wa msanii Vanessa Mdee (V Money) kwa nini amekaa kimya kwa muda mrefu hatimaye atangaza kuachana na tasnia ya muziki akitoa sababu zifuatazo.
Akizungumza...
Ni vijana wengi sana wanapenda kuwa wasanii, binafsi kwa huu mtaa wangu wenyevnyumba nane kuna wasanii wanne ila hawajafika popote na umri umeshaenda, labda pengine ni kwasababu hawakupata elimu...
Jamani msijisahaulishe, hivi mmesahau tukio la harmonize kugoma kushikana mikono na Ali Kiba? Sasa leo Bosi Sallam amegoma kushikana mikono na harmonize imekuwa nongwa
Yeye mwenyewe ameshawahi...
Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule
.
Tanzania Most Streamed Artist officialikiba
Tanzania Most Streamed Song #SoHot
Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz
Dodo...
Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
==============
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.