Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Leo katika XXL ya Clouds fm Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amekubali kuwa huwa anashiriki katika masuala ya kishirikina. Hali ambayo imeleta mjadala kuwa yawezekana huwa anaenda kwa...
2 Reactions
209 Replies
26K Views
Nyie watu mnatukosea sana, mmeamua kabisa kuyachosha masikio yetu, hadhi ya Diamond na Wasafi kwasasa ni kubwa sana, kwasasa mpo kwenye wakati wa kutengeneza uniqueness yenye hadhi ya juu, kwanini...
19 Reactions
81 Replies
7K Views
Msanii Young Killer anadai Joh Makini anabebwa na kudai ni suala ambalo lipo wazi kwa kuwa watu wengi wanalizungumzia Amemtolea mfano Chid Benz kulisema hilo lakini akasema tena sio yeye anasema...
1 Reactions
134 Replies
24K Views
Jamaa anajua sana yuko fiti japokuwa ni kwa upande wangu huwenda wengine wakaona kuna wazuri zaidi japokuwa na mimi nakubali wapo wazuri ila Mpoki ni zaidi kwangu. Sent using Jamii Forums...
13 Reactions
48 Replies
9K Views
Naona P funk ameamua kutuwashia moto wa kumaliza mwaka Dah!! BONGE MOJA LA NGOMA NA KIDEO CHA KIBABE , nahisi ndio video kali mwaka mzima. flows kali,beat kali na aliye direct video na io story...
6 Reactions
24 Replies
7K Views
Yupo Super Kamanyola ya Mwanza. Nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. Nimemuona akikomalia kuiimba 'Nawashukuru wazazi wangu' ya DDC Mlimani Park najihisi kuhuzunika kiasi lakini sijui...
36 Reactions
256 Replies
49K Views
Aliyekua muimbaji wa Dansi nchini Lucas Mkenda au Mr. NICE kama anavyojulikana na wengi amempa Yesu maisha yake tangu mwezi wa nane mwaka huu. Anahudhuria ibada, maombezi na tayari amebatizwa...
1 Reactions
63 Replies
13K Views
Ukiacha ya kwangu. Inayofuata ni hii hapa naielewa sana, kwanza hujawai sikia scandals za ajabu ajabu. Baba & mama Ivan
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada twaja. Nadhani tunamhamu bwana Kigosi ambaye wanamwita Ray. Wakuu hili halina ubishi huyu bwana ni bingwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani yuko wapi Dataz?! Long time, kitambo, Mdada huyu aliye-hit sana enzi zake kwa Bongo Flavor hasikiki/haonekani. We miss you Dataz!
9 Reactions
88 Replies
32K Views
Wasanii wetu bhana siku hizi wana mbinu nyingi sana za kujitafutia soko la kudanga kwa kupitia sanaa zao wanazofanya. Kauli hii imethibitika vilivyo baada ya rapper wa kike anayesumbua hapa...
1 Reactions
42 Replies
17K Views
Leo nikiwa kwenye bodaboda nimebahatika kusikiliza wimbo alioimba na boss wake dizaini wimbo ni Kwangwaru mwanzo mwisho. Hii si njema wakati huu anapojaribu kutengeneza Identity yake, ajaribu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Kanye West Teams with Gap Bold Partnership will Bring YEEZY Apparel to the People with New YEEZY Gap Line West and Gap Relationship Comes Full Circle as the Visionary Creative and Cultural Icon...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa...
30 Reactions
170 Replies
15K Views
Kabla ya kuitwa channel 5 (EATV) ilifahamika kama ITV2, mnamo mwaka wa 2004 ndipo ilibadilishwa jina na kuitwa EATV au channel 5. Inafahamika ITV na EATV zote ni Mali za mtu mmoja na kampuni ni...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Huyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo. Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu.. Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa...
8 Reactions
79 Replies
9K Views
Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari". Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom