Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16 1. Upendo Peneza Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa...
3 Reactions
97 Replies
14K Views
Naomba kujua. Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM...
1 Reactions
37 Replies
51K Views
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu! Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.
0 Reactions
21 Replies
21K Views
Wasanii wako ni wachanga sana, unatoaje wimbo wako siku 1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako? Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako, Coz we mkubwa kuliko wao....
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kati ya wanamuziki ambao wana kipaji haswaa na ni mafundi wa kuimba basi Ramadee ni kiboko yani ni sawa na Ed Sheeran wa Marekani vile, lakini kwa sasa alieukamata mziki wa Tanzania ni Diamond...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki. XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva...
28 Reactions
115 Replies
19K Views
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima, Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Salamu wan JF, Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho. Mbarikiwe kwa msaada wenu ============ Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana...
5 Reactions
205 Replies
179K Views
Kweli bila kumtumikia ibilisi hii dunia unapotezwa upesi sana.Akina Nandy na matusi yao wana trend na wataendelea kwa nguvu ya vyombo vya habari vingi vikiwa vya ki illuminat. Naukumbuka sana...
5 Reactions
69 Replies
11K Views
Habarini ndugu wana jukwaa! Nimefuatilia sana kuhusu hii trend ya baadhi ya media kutopiga nyimbo za baadhi ya wasanii na mara zote nakosa majibu kwa kuwa hakuna media inatoa sababu za kwanini...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali...
8 Reactions
49 Replies
6K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa...
6 Reactions
30 Replies
9K Views
Watanzania tuna tabia ya kutoa sifa mtu akishafariki. Sasa leo hii nakupa hongera mond kwa mambo mengi ulioyafanya: 1. Kuitangaza lugha ya kiswahili kupitia nyimbo zako. 2. Kuleta tuzo za...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kupitia akaunti ya Instagram ya E Fm (efmtanzania) wameandika haya Hamisi Mandi B. Bozen, kati ya majina yake anayopenda ni The Navigator (msafiri). Kwenye safari hiyo kavusha wengi kiasi kwamba...
13 Reactions
347 Replies
47K Views
Niimani yangu kuwa mko poa wana jf mnaendelea na majukumu ya kila siku japo ndio hivyo vyuma vimekaza kwa baadhi yetu lakini maisha lazima yaendelee Leo tunamuongelea mchekeshaji wa zamani...
8 Reactions
126 Replies
59K Views
Ayo Tv, Millard ayo channel ya youtube zamani ilishazoeleka kuingiza hata video 10 kwa mpigo kwenye orodha ya video zinazovuma (trending videos), Ni kipindi ambacho kijana hakuwa na mpinzani...
4 Reactions
44 Replies
8K Views
Huyu sasa ndo KING KONG halisi. Jamaa ka-improve sana,kawa mbavu kinyama gym halisemi uongo, hana tena muonekano wa kiteja, usijerudia tena unga mzee.
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi... Majina...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom