Katika wasanii wenye Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye maana katika Jamii hivi sasa hapa Tanzania, ni Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki.
Kwa Ujasiri na uwezo wako mkubwa kimaono kama kijana...
Tukiwa tunaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yaliyotokana na mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd, ni vizuri wakati huu kujadili maswala yanayohusu ubaguzi wa rangi huku...
Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti.
Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu...
Kennedy sanga maarufu director Kenny moja ya video director wakubwa hapa east Afrika na director namba moja wa Diamond Platnumz
Kitaaluma ni fundi umeme.Alianza mambo ya video kama mmoja wa...
Mwanamfalme Philip ambaye ni mume wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II kwa zaidi ya miongo 7 anasherehekea miaka yake 99 ya kuzaliwa, leo Juni 10
Philip 'The Duke of Edinburgh' atatumia muda wake...
William’s late mother, Lady Diana Spencer, married Charles, Prince of Wales in 1981 at Westminster Abbey.
She then inherited the title, Diana, Princess of Wales – though she was affectionately...
Controversial Twitter bigwig and influencer Artur Mandela aka Xtian Dela has for the first time revealed that he collected more than Ksh5 million from Club Covid.
Xtian started Club Covid after...
Wakuu,
Je wasanii wetu wa sanaa wanajua maana ya hakimiliki yaani copyright? Tunaposema hakimiliki au copyright inamaanisha haki aliyomilikishwa kisheria mtunzi au mwandishi wa kazi fulani kama...
Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki...
Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter)...
.
By SanguJoseph
Leo nataka tuwaze pamoja, Kwa nyinyi kupokea salamu zangu kwa Alikiba,, msianze kusema wewe Sangu J unachuki Zako binafsi na Kiba, mbona kila siku wewe unamuangalia kwenye...
Katika kitabu chake cha SUGU THE AUTOBIOGRAPHY -MAISHA NA MZIKI (FROM THE STREET TO THE PARLIAMENT) Sugu anasema
""Nakumbuka katika kipindi hicho nilikuwa karibu sana na kanisa, nilikuwa mmoja...
Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu.
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL...
Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki.
Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo...
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.
Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha...
Msanii Jux ametoa ngoma inaitwa COVID-19 amemshirikisha Maua sama haina muda Mrefu tangu itoke.To be honest hii ngoma inaamasisha ngono kwa asilimia 💯 wameimba kwa deep passion sana za kimapenzi...
Habarini waungwana poleni na majukumu?
Moja kwa moja niende kwenye mada kama ilivyo tajwa hapo juu ,Waswahili wanasema mshika mawili moja humponyoka je hivi ndivyo ndugu yetu harmonize hatakavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.