Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Habarini! Nampenda huyu Mama ana moyo mwema sana ni mkarimu, anamoyo wa kujali vile vile ni mchangamfu hata kwa mtu asiye mfahamu. Katika sanaa ya Tanzania kainua vipaji vingi sana sote tunajua...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari zilitofikia muda si mrefu mheshimiwa zuma amechaguliwa kuwania uraisi kwa mwaka 2009 nchni africa ya kusini,,mheshimiwa ZUMA Amechaguliwa na Halmashauri ya ANC,......... kwa habari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo Jacqueline Wolper Massawe, amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Wanajamvi sijui km nimetua ukumbi husika, km sio mtanisahihisha. Napenda kujua hawa ndg zetu waliwahi kuvuma sana enzi zao katika sanaa. Power Mabula alikuwa na nguvu za ajabu kuuia au kuvuta...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
By Sangu Joseph . Duuh kwanza nianze kwa kushangaa, kama ambavyo wengi tulishangazwa kuona taarifa ya kutua kwa BDozen, #DozenAmetua kwa Waswahili @efmtanzania na @tvetanzania hii taarifa kubwa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
We present you the list of the most influential artistes in Africa as of 2019, by influence we mean the impact these artistes have had in people’s lives, the music industry and more continental...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John...
18 Reactions
221 Replies
39K Views
SIMBA KAMA LION, ALMASI KAMA DIAMOND, HAKIKA MAJINA HAYA ANAYATENDEA HAKI KWA VITENDO ZAIDI NI ZAIDI YA WIKI SASA VIDEO YA QARANTINE BADO IMETULIA KILELENI KWENYE VIDEO ZINAZOTREND YOUTUBE BILA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni mtangazaji ambaye alianza kwa " kusuasua " huku akionekana kukosa self esteem hasa akiwa anatangaza katika tv lakini sasa huyu Mtangazaji wa Kike wa ITV / Radio One Farhia Middle amekuwa...
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Mwanaume kamili haogopi vita , tuna slogan yetu , get rich or die trying , mara nying sasa kumekuwa na hali ya kumshindanisha Harmonize na Nguli wa bongo Fleva Diamond Platnumz , na hii...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
18 Reactions
91 Replies
10K Views
Wakati tukisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Deontay Wilder na Tyson Furry utakaofanyika February 22 katika ukumbi Wa MGM Grand Arena, tutazame rekodi zilizowekwa na mabondia...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Did you know? South African President, Cyril Ramaphosa became interested in ankole cattle after visiting Uganda in 2004. Top Billing also confirmed it He is the first person to bring them to...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wakuu ? Natumai mko fresh ki afya hasa ukizingalita hili kiki la dunia linavyo tupandisha pressure. Acha nidondokee moja kwa moja, wakuu hivi hawa vijana wali fail wapi? Maana...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ameandika Janet Otieno muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya: Wapendwa wanaume, Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata kujinunulia mwenyewe nguo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumaini kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya...
3 Reactions
37 Replies
12K Views
JUN042013 Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport. T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale...
3 Reactions
60 Replies
57K Views
Back
Top Bottom