ADAM Philip Kuambiana amezikwa jana kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku akiacha maswali magumu matano kuhusu maisha, mazingira na hatimaye kifo chake, Risasi Mchanganyiko...
Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kushafanyahits kadhaa ambazo zinafanya vizuri...
Jamaa aliondoka E-FM na kutimkia Clouds FM, namkumbuka siku hiyo mabodaboda walimsindikiza kwa mbwembwe, akapewa kipindi pale Clouds cha Nyimbo za Singeli kama alizokuwa akipiga E-FM siku hizi...
Kweli kipaji unacho kijana..leo unakwama wapi. Kwenye maisha usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana. Ona sasa wale jamaa zako waliokuambia jamaa hakufai anakuharibia ANAKUNYONYA. Ona sasa...
Huko Ottawa nchini Canada mnamo 22/03/1994 alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Daniel Nwosu Jr.
Namzungumzia jamàa anaye fahamika Kama DAX kwa jina la kisanii.
Utajiuliza kwanini nimeamua...
Ndani ya Wasafi Fm Diamond Platnumz ameibua vipaji vingi sana na amefanikiwa kuajiri watu wengi ambao wanalipwa vizuri tu kama wakina Kumwembe, Kitenge na wengineo.
Lakini sijui kama Diamond...
Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini...
Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria. kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria.
Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa...
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii.
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa.
Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe...
Huku tukiendelea kuchukua tahadhari zidi ya COVID-19. Tutafteni sana pesa...
Nimepita youtube leo nikabahatika kuiona video ya msanii wa WCB Rayvanny. Nikakumbuka huwa tunasemaga ukitoboa then...
Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira katika Joti TV ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana. Je ni uhusika gani kati ya...
Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi.
Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za...
Nimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria.
Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia.
Kitachotokea ni...
Mchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na...
Habarini wana JF
Leo asubuhi niko dukani kwa Mangi nanunua kamkate tukafungue kinywa. Basi pembeni hapo dukani kuna hawa wadada na wamama wauza vitafunio, wakawa wanaongea kitu na kuonekana kila...
Nasikiliza hii nyimbo mpya ya Simi inaitwa Duduke Daaah huyu Simi ni Underrated...
Hawa kina Yemi Alade,Tiwa Savage sijui wanampitaje kimafanikio..
Lakini mziki wa Simi ni Quality...
Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.