Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka...
Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa...
Je idris Sultan ni jambazi la kutumia silaha? Je ni gaidi? Ni alshababu au alkaida? Na je jambazi hana ndugu na jamaa? Hana ndugu wanaompenda na yeye anawapenda? Je gaidi wa alkaida hana ndugu na...
Kwanza kabisa nimpongeze Stamina kwa kupata deal la parimatch, jamaa Ni mbunifu Sana na anafanya kazi nzuri Sana nimefurahi Sana Jamaa kupata Hili deal maana jamaa alikuwa apati kabisa deal za...
Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu.
Kiukweli ukimuweka...
Alisema anataka kufanana na kiongozi wa kimila wa Kimasai aitwaye 'Laigwanan' ambaye kwenye kiapo chake wakati wa kupewa wadhifa huo huapa kuwa "Nikikiuka niliyoapa kuyatenda Mungu nilaani...
Mwanadada Bianca Schoombee wa Afrika Kusini amejitoa katika kinyang’anyiro cha mashindano ya Miss South Africa kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo imetolewa na wakala wake.
Bianca alipata mapokezi...
Habari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya...
Kupata deals, ubalozi, au endorsement ya kutangaza bidhaa kutoka kwenye makampuni sio kitu kidogo na si wote wasanii/waigizaji/watu maarufu hupata
Makampuni huangalia vitu vingi mpaka kujiaminisha...
Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza,
Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale...
Hakuna mwanamziki anaependaga kuwa kimya kama wengi tunavyodhani, iwapo msanii hana tatizo za vituo vya redia, n.k basi mara nyingi ukimwya husababishwa na ishu ya "UKATA WA PESA".
Ali kiba ni...
"Utaratibu wa polisi wamshangaza Kagasheki
Na Lilian Lugakingira, Bukoba
NAIBU Waziri wa wizara ya Mambo ya Ndani, Khamis Kagasheki ameshangazwa na utaratibu unaotumiwa na jeshi la polisi wa...
Kama kuna alosikilia na kuona tukio la Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano anaweza kukubaliana nami kuwa Mama Asha alitoa hotuba nzuri ilogusia mambo...
Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali
Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya...
Baada ya kushindwa kipindi cha nyuma sasa wameanza tena safari hii ila nyani mkuu ametulia tuliii anawaacha wapige kelele wabebane lakini atakuja kuwanyamazisha kidomo domo hao
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya...
======
MAGO, Amechangia hii mada na kusema;
Nimeona clips kadhaa za wasanii wa Wasafii eti wako kwenye isolation (kalantin) kwa sababu za mwenzao Salam kukutwa na maambukizi baada ya kuwa safari...
Msanii Stara Thomas amefunguka kuhusiana na mahusino yake na aliyekuwa msanii wa bongo movie Adam Kuambiana aliyefariki wikiendi iliyopita na kuzikwa jana kwenye makaburi ya Kinondoni. Stara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.