Msanii kunako kiwanda cha muziki wa bongo fleva Wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari ukonga.
Wakazi ameyasema hayo akihojiwa na Dozen Selection ambapo...
Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.
Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa...
Habarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka...
Jana nilibahatika kusikiliza interview ya Darassa aliyofanyiwa na Salama Jabir. Kwanza nikiri Salama ni bingwa wa kufanya interview maana interview zake utasikia vitu ambavyo hukuwahi kusikia...
Kiukweli katika siku za hivi karibuni Juma Lokole amekuwa akimpaisha sana Diamond platnumz kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kumpost kila mara.
Ni vyema Diamond platnumz akamfikiria...
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo...
Wakuu achana na hela.
Jamaa yangu mmoja anashtua misuli kwa mmoja ya wale wasanii wa kike wa WCB kwa hiyo huwa ana access na baadhi ya vitu vya WCB ambavyo havijawa tayari kwa matumizi ya umma...
Yule kijana mtukutu aliyekua kifungoni na kuachiwa hivi karibuni kwa masharti bwana Tekashi69 karudi kwa kishindo.
Jana 8 may ilikua bday yake na kaachia nyimbo mpya inaitwa GOOBA
The boy is...
Nani anajua waigizaji wetu kwenye Bongo Movies wanalipwa kiasi gani kwa kuigiza kwenye Filamu na ni nani ndiye anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi?
Umaarufu wa watu wa Bonge Movies unatokana na...
Waandaaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo Watanzania @Diamondplatnumz @RayVanny @S2kizzy @OfficialNandy @Harmonize_tz na...
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.
It seems wanaosimamia biashara zake either hawana kauli yeyote ile juu yake au hawajui...
Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa...
Habarini wana JF ni matumaini yangu mpo wazima kabisa katika kipindi hiki cha karantini tuendelee kuchukua tahadhari.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kwenu madam Ritta na...
Naam,
Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza.
Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya Game of Thrones.
Katika Game...
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano...
Habarini Wadau,
Kiukweli namhusudu na kumpenda sana huyu dada, ambaye ni mtangazaji wa ITV.
Anayeweza kunisaidia namba zake aidha ya simu au ya nyumba aniwekee hapa tafadhali.
Najua hajaolewa...
Akifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani.
Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35.
At the Hill i used...
Mwanzilishi wa harakati za Piga Kambi Utalii wa Ndani, Lisa Karl Fickernscher ambaye alikuwa ni mke wa msanii wa Hip Pop hapa nchini Mabeste amefunguka kiundani kuhusu maisha yake na aliyekuwa...
Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.