Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Hii ni kwa tathmini yangu fupi ya harakati za hawa wanamziki kwenye mbishe zao za kungiza kipato; i) kwenye kutoa nyimbo, ii) Matamasha, iii) Endorsement., iv) Album Kwenye list yangu mpaka sasa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe. You Mad Coz Am Back...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video HD 1080p) 2:57 657 likes, 40 dislikes 115,398 views Diamond Platnumz 09/02/13 Watch Video Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Leo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram. Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa...
1 Reactions
102 Replies
14K Views
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin style mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndugu zangu wapendwa katika pitapita zangu kwenye blogs nimekutana na hii picha ya Fidelin,hivi kweli watanzania tumefikia huku? Fide mimi sio hater ila inabid ujirekebishe sababu wewe ni kioo cha...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hilo ndo jina halisi la msanii Akon kama ulikuwa hulifahamu nalo ni Aliaume Damala Badara Akon Thiam
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Kusaga alikuwa live anawapigia simu watu na mashirika mbalimbali watoe michango yao kwa ajili ya mapambano ya corona, akampgia Diamond. Diamond kakubali kuchangia ila kasema mchango wake utatajwa...
23 Reactions
218 Replies
26K Views
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda...
9 Reactions
143 Replies
22K Views
Hatari sana wakuu ====== Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu...
3 Reactions
80 Replies
11K Views
O.B.O ukipenda muite Davido kupitia I.G yake anatusanua kwamba kuna Collabo inakuja soon ft Nick Minaj... Jamaa hataki masihara si mnakumbuka alivyoumiza kwenye Blow my mind akiwa na Chris...
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara, Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi...
17 Reactions
113 Replies
21K Views
Wakati Diamond akisonga hatua kumi mbele alikiba yeye anasonga ugali. Kumbe alikiba alipoteza account yake ya audiomack yeye na management yake ndo wanaangaika kuitafuta.
10 Reactions
40 Replies
9K Views
Dunia kila siku ina jambo jipya, mwanatech Elon Musk na mpenzi wake Claire Boucher wamepata mtoto na kumpa jina la X Æ A-12. When choosing a password, we're generally advised to use one upper...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo vipi! Kama unavojua rich mavoko aliondoka wasafi na kuanza kujitegemea, lakini hajawahi kutoa ngoma wala kuskika kama mwanamuziki mkubwa! sasa harmonize amesema kuhusu mchizi! Familia...
6 Reactions
70 Replies
10K Views
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona Alikiba ameyasema hayo...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom