Mara nyingi sana huwa namuona jamaa kama sio superstar au boss vile anapokua kwenye jamii au katika shughuli zake za biashara,
Nimecheki hii video yake akiwa na wafanyakazi wake walipoenda huko...
Ni ukweli usiopingika kuwa msanii diamond platnumz ametuletea heshima kubwa nchini kitaifa na kimataifa.
Binafsi naona toka ametoka kuzindua miaka 10 ya diamond kwao kigoma, kuna jambo haliko...
I’m loving the interview Diamond did few days back , naweza kusema its a one of Diamond’s best interview ever . Nimependa jinsi Zembwela na Kitenge walivyokua free kuuliza maswali ya kidaku bila...
Kumbe lile gari la kifahari aina ya BMW ambalo muigizaji nyota wa filamu Wema Isaac Sepetu ‘Madam' alizawadiwa wakati wa bethidei yake na kuwa miongoni mwa sababu za kumwagana na mpenzi wake...
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa...
Hi guys!
Let me declare,I'm Diamond Platnumz fun but also I support any bongo fleva artists who are pushing hard to make sure our music dominate airways internationally.
Kiufupi pamoja na kwamba...
Ila jamani najitahid kusahau na kuzuia maumivu nashindwa, huyu Mama kweli wa kuzikwa na watu 10? , kama walikua wanajali sana hiyo corona mbona sehem nyingi za mkusanyiko bado ziko wazi ...
Halo JF Celebrities.
Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk?
Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa...
Wana Jf,
Kwanza hii ni Friday night, hivyo mara moja moja let's socialize and take it easy with threads za light touch.
Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most...
Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria...
Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula...
Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua.
Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa...
Leo tuwapambanishe manguli wawili wa Bongo Flavour, hawa ni wasanii ambao walibadilisha muziki wa bongo kuwa R&B halisi miaka ya 2003 & 2004 vilitoka vibao viwili vilivyosumbua sana cha kwanza Z...
Msanii wa Bongo fleva Ben Pol amemchumbia binti wa kitajiri wa Kenya Anerlisa Muigai na anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni taratibu za awali Tayari zimeshaanza
Kuhakikisha Hilo Ben Pol amehama...
Wote ni wakali wa filamu nchini China. Walitamba sana filamu zao. Filamu nzuri za Ngumi. Nani zaidi kati ya Donnie Yen na Jet Lee.(Ukiambiwa umchague mmoja)
Nadhani ni jambo lisilopingika kwamba foleni za barabarani ktk jiji la Dar zinaongezeka siku hadi siku.
Ninashauri JK na viongozi wengine wanaopenda sana misafara mirefu waanze utaratibu wa...
Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.