Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Taarifa za wazi zinaonyesha kwamba mwamba huyu aliuliwa na askari wa Marekani , hilo sina shaka nalo hata chembe lakini je mtu huyu aliyeamsha hasira kali dunia nzima alikuwa anajishughulisha na...
10 Reactions
131 Replies
25K Views
Stay tune Leo Usiku nitakua Live! Facebook & Instagram (IG) LiveStreaming SoHot[emoji91] WaMoto Karibu Umtizame na Kumsikiliza Mfalme wa Mziki wa Bongo Fleva
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wengi wanamfahamu kwa umahiri wake aliouonyesha kwenye filamu ya Sarafina akiwa na umri wa miaka 15 tu, filamu ambayo ilitikisa karibu Afrika nzima na baadhi ya nchi za ugahibuni. Lakini jina...
6 Reactions
45 Replies
17K Views
Nawahusisha wamakonde wote wote katika mada hii na dharau anayoipata HALILA TONGOLANGA--FIELD MARSHAL TONGOLANGA (R.I.P) 1. Aliwatambulisha sana wamakonde Tanzania hii kupitia sanaa yake. 'kila...
9 Reactions
47 Replies
9K Views
Pale tunaposema kuwa Siku hizi hakuna tena Mapenzi bali kuna Upuuzi, Utoto na Usanii tupu muwe mnatuelewa vyema tafadhalini Jackline Wolper na mchumba wake wameachana ikiwa hata wiki haijaisha...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa maniga walizingua Sana, walionyesha udhaifu mkubwa Sana kuomba msamaha clouds bora wangekausha tu, maniga nawakubali Sana ila hapa waliingia cha mashoga
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Mtalaka wa Mabeste anaaiibisha wanawake yaani amefikia hatua ya kumshtaki mzazi mwenzie wakati wote walifanyiwa interview na Kila mtu alieleza kisa cha kutalikiana. Sijaona kosa la Mabeste hadi...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cent ametaja dawa ya Corona. Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika: " This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Bingwa mara tano wa ndondi duniani Floyd Mayweather amejitolea kulipia gharama za mazishi ya George Floyd ambazo zinanakadiriwa kufikia Bilioni 10 za Kitanzania hadi sasa, aliyekufa akiwa mikononi...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako. Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza...
17 Reactions
109 Replies
22K Views
Watu wanasema usipende kusema jambo usilolijua. Kuna sehemu huwa ni wakali ukifika kwenye imani zao kupitia dini tulizo nazo kila mmoja. Watu wengi kupitia imani wanapenda kusabisha wenzao kuwa...
5 Reactions
92 Replies
8K Views
Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo au kusoma kitabu halafu akipata wazo zuri ndani...
25 Reactions
233 Replies
33K Views
Video inayozagaa kwa sasa , ikumuonyesha Mama Diamond akipanda gari aina ya IST huku pembeni parking ikiwa imejaa magari ya kifahari, imezua hali ya sintofahamu kwa wapenda ubuyu na kuuliza...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu...
2 Reactions
73 Replies
16K Views
Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi...
3 Reactions
225 Replies
54K Views
Mwanamuziki matawi ya juu bongo , na anayejua kupangilia vizur mavazi yake, juma jux , hivi karibuni amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost picha akiwa nusu utupu, hali iliyozua...
2 Reactions
67 Replies
10K Views
Leo nimesikiliza hii ngoma ya Makamua enzi zile za wakali kwanza. Ila hawa jamaa walikuwa wanajua bwana kweli wakati ukipita hata uwe wajua vipi basi muda ukiisha umeisha. Ngoma kaitengeneza...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Naona Mkurugenzi wa ETV na EFM, Majizo anamtangaza Jonijoo kama mtangazaji wao mpya wa vipindi na hii ni baada ya kuhama WASAFI === Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Block 89 na Bartender cha...
10 Reactions
279 Replies
44K Views
Back
Top Bottom