Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko...
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.
Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si...
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.
Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula...
Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie.
Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe...
Mzuka wanajamvi!
Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya...
Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale...
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.
Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya...
Ila kweli aiseeh, walichofanya wasafi ilikua ni risk sana , it was jeopardizing the life of others kwa kweli , kitendo cha kula bata baharini kwenye boti tena wakiwa wanalewa bila life support...
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina...
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI.
Baba wa Nelli Tembe Ni mtu...
Habari.
Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanii mbalimbali nchini maarufu kama Mwijaku.
Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu...
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata...
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja.
Cheedy na Killy wameenda Basata kudai...
Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya...
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili...
Irene wala hatoki na Rais wa Kenya kama wengine wanauosema. Irene Uwoya anatoka na Rais wa GSM AKA Mmiliki wa yanga, GHALIB.
Wana nyumba yao special kwa ajili ya kulutana na kufanya yao. Yani...
Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine.
Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke.
Inawezekana ni coincidence tu watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.