Muhuni ni muhuni tu,
Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama...
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna...
Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny
Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level...
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki...
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili...
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na...
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu
Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama...
Kwa siku za hivi karibuni stori zilizozagaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni juu afya ya msanii wa Bongo Muvi, Wema Sepetu kukondeana na kuwa na muonekano tofauti aliozoeleka...
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii...
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake...
Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki...
Siku saba sasa zimepita tangu huyu binti menina ambaye ni msanii, mc, mwalimu wa madrasa na mchekeshaji lakini pia ni professional commercial Hawks, kutupia mitandaoni picha zake za uchi akiwa...
Wasalaam wanajamvi
Msanii Gigy Money hivi karibuni amekuwa akionekana kwenye media ya msanii Diamond Platinumz akifanya shughuli fulani ambayo mwanzo ilionekana kama ni serious lakini imekuja...
Bidada nasikia limemkuta jambo , ile ofisi yake aliyoifungua kwa mbwe mbwe wiki kadhaa iliyopita nasikia imevunjwa vunjwa na Vijana wanaosadikika wametumwa na mke wa muheshimiwa ambaye anadaiwa...
Wasalaam wana jamvi!
Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha...
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya...
Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi.
Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.