Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani.
Kama ni kweli nawapongeza mno...
Tupunguze hasira ya Report ya CAG 2017/2018.
Huyu ni socialite wa huko Rwanda mwenzenu nimebahatika kumuona kwa macho yangu kigali,sikuamini kabisa yaani,uzuri ni kama utamu wa matunda yaani...
Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa...
Hadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
Chicago,USA.
Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly.
Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa...
Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate.
Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni...
Msanii nguli wa muziki wa R’n’B nchini Marekani, R. Kelly ametishia kujiua, hii ni baada ya polisi Mjini Chicago kupokea simu ya dharura kutoka kwa mwanamke mmoja ambaye hakujitambulisha jina...
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji...
Habari Wanajukwaa!!
Awali Ya Wote Naomba Nijitambulishe Kama Mpenda Mziki Mzuri,
Nimefanya Utafiti Usio Rasmi, Nimegundua Kwamba Nyimbo Za Kwanza Za Wasanii Wa Kizazi Kipya Huwa Nzuri Kuliko...
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu...
Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata.
Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii...
DAR ES SALAAM: Kimenuka ile mbaya! Lile penzi shatashata lililotarajiwa kuzaa ndoa Februari 14, mwakani kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtangazaji wa Kenya, Tanasha...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetangaza kumfungia msanii Diamond Platnumz na mwenzake Rayvanny kufanya maonesho yoyote ndani au nje ya nchi kwa muda usiofahamika. Si hivyo tu, bali pia...
Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao...
Yani Toka zari apost UA jeusi domo naona anahangaika kujifariji lakini wapi , anabadilisha kila wanawake Ila wapi . Sasa huyu kimnana nae kujikuta kafika na kuanza kujishau, Ila nilijua tu ata...
Kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,
Kwa kile kinachodaiwa ni post...
Baada ya ukimya wa Darassa na kutoonekana kabisa mahali popote taarifa nyeti na za uhakika ni kwamba msanii Darassa amefungiwa na ndugu zake kwa baba yake mkubwa Kiwalani kutokana na matumizi ya...
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.