Account yake pendwa yenye followers mil 4.2 ya Instagram imehackiwa.
Update :
ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka...
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye...
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana...
Kuna tetesi zinazoenea kwa kasi King Kiba kamtelekeza mtoto wake kama tetesi hizi zinaukweli ndani yake hii ni aibu Kubwa kwa msanii mkubwa Africa na Tanzania kwa ujumla.
mangekimambi:We uleiba hii account ya @wemasepetu ujue soon Wema atarudishiwa account yake. Instagram watakunyang’anya watamrudishia, ungesaidia sana watanzania wanaotaka kulikomboa taifa kama...
Inasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe
=======
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo...
Kwa habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba mwanamuziki ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa hapa nchini na Africa kwa ujumla Diamond Platnums Chibu Di Chibu De a.k.a Muuza Karanga anataka...
Je unafikiri umemaliza mwaka vibaya?
La hasha kabisa!Kuna tetesi kuwa mlimbwende Kylie,amwagwa na mpenzi wake!Tena akiwa mjamzito.
Usiombe ikukute.. waweza kuzaa siku sio zako.
Namwonea...
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli...
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums
Wawili hao...
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu...
Habari za kunyapia zinadai wawili hao walikuwa hawapikiki sufuria moja ila walijikaza kidume kutoonesha hadharani hadi pale wenye mji walipowaita na kuyamaliza kwa amani,kwa sasa wanajipanga kuja...
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi...
Habari wapendwa..
Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS...
ommy dimpozi ameshikiliwa zaidi ya masaa matano leo baada ya mashtaka aliofunguliwa na diamond kwa kusema alimgegeda maza wa taifa
wadau wamekuja juu sana huko mitandaoni na haya ndo maoni yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.