Bloga anayetegemewa kurudi bongo wakati wowote kuanzia leo ameanza kuandaa mazingira mazuri kwa wenyeji wake watakao mpokea bandarini baada ya kuwarushia maneno kadhaa kwamba wanauza sembe ambapo...
Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko...
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini...
Mama la mama, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amedaiwa kunasa ujauzito wa mpenzi wake, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.
Taarifa hizo za ndani ya familia zimevuja ikiwa ni...
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari...
Mama Nasibu Athibitisha kwa Maneno haya
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina TIFFA
Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz...
Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash.
Na sasa movie...
Hali inaonekana sio shwari kabisa kwenye family ya nguli wa music tanzania. Kimbunga kikali Kilichosababishwa na mapenzi ya wawili (zari na diamond )kinaonekana kikiipiga vilivyo familia hii na...
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na...
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.
Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka...
NDI! NDI! NDI!, Wahenga walisema Mapenzi ni kikohozi kuyaficha huyawezi, msemo huo ulijidhihirisha wazi kwa mastaa wawili, zamaradi mketema pamoja na boss wake ruge mtahaba, ambapo tetesi zilianza...
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA...
Hivi lile bifu kati ya ma legendary kwenye mziki wa bongo fleva, rehema chalamila aka Ray c pamoja na commando lady jaydee liliishia wapi? natamani kuona collabo kati ya wasanii hawa wawili...
Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.