Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam...
Hii ni kwa tathmini yangu fupi ya harakati za hawa wanamziki kwenye mbishe zao za kungiza kipato; i) kwenye kutoa nyimbo, ii) Matamasha, iii) Endorsement., iv) Album
Kwenye list yangu mpaka sasa...
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot
NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe.
You Mad Coz Am Back...
Diamond Platnumz - Number One
(Official Music Video HD 1080p)
2:57 657 likes,
40 dislikes
115,398 views
Diamond
Platnumz
09/02/13
Watch Video
Ikiwa haijafikisha hata week tangu iwekwe...
Leo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa...
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin style mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa...
Ndugu zangu wapendwa katika pitapita zangu kwenye blogs nimekutana na hii picha ya Fidelin,hivi kweli watanzania tumefikia huku?
Fide mimi sio hater ila inabid ujirekebishe sababu wewe ni kioo cha...
Kusaga alikuwa live anawapigia simu watu na mashirika mbalimbali watoe michango yao kwa ajili ya mapambano ya corona, akampgia Diamond.
Diamond kakubali kuchangia ila kasema mchango wake utatajwa...
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda...
Hatari sana wakuu
======
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu...
O.B.O ukipenda muite Davido kupitia I.G yake anatusanua kwamba kuna Collabo inakuja soon ft Nick Minaj...
Jamaa hataki masihara si mnakumbuka alivyoumiza kwenye Blow my mind akiwa na Chris...
Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara,
Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi...
Wakati Diamond akisonga hatua kumi mbele alikiba yeye anasonga ugali. Kumbe alikiba alipoteza account yake ya audiomack yeye na management yake ndo wanaangaika kuitafuta.
Dunia kila siku ina jambo jipya, mwanatech Elon Musk na mpenzi wake Claire Boucher wamepata mtoto na kumpa jina la X Æ A-12.
When choosing a password, we're generally advised to use one upper...
Mambo vipi!
Kama unavojua rich mavoko aliondoka wasafi na kuanza kujitegemea, lakini hajawahi kutoa ngoma wala kuskika kama mwanamuziki mkubwa! sasa harmonize amesema kuhusu mchizi!
Familia...
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani...
Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona
Alikiba ameyasema hayo...