Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na...
Description
Andrew Jack was a British dialect coach and actor from London who had worked on over 80 motion pictures since 1982.
Born: 28 January 1944, London
Died: 31 March 2020, Surrey
Spouse...
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee.
Namkubali Sana huyu bi_dada popote...
Wakuu niwe mkweli tu huyu kijana mziki anaweza sijawahi pata ona..
Ule uwezo wake wa kunata na beat yoyote kwa melody ile ile bila kushuka.. Ni kipaji tosha..
Sasa kwanini basi anakuwa...
Wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia huyu Mrs Janjaro ili nijue chanzo chake cha mapato ni nini haswaa maana nimemfuatilia weeee nimeambulia patupu nimeona nije kuwashirikisha humu...
Habari za kazi waungwana!!!
Huu ni mwaka wa uchaguzi mwaka huu unaweza ukawa neema pia kwa wasanii wetu mfano
1. Diamond WCB anaweza? Jimbo gani
2.Harmonize Konde boy jimbo gani?
3.Ally s...
Leo nimemkumbuka tu huyu dada, nilikuwa napenda sana kumuangalia enzi zile.
Hivi yupo wapi Siku hizi? aliacha kazi Star TV?Mwenye kufahamu anijuze tafadhali.
Dah! Star TV mmeondoa watangazaji...
Habari JF
Watu baadhi walikuwa wakizusha, kuwa Alikiba anatumia huruma ya Watz , hili kuendelea kusumbua hapa Tz.
Lakin sio kweli msanii Alikiba amejaliwa sauti nzuri yenye mvuto wa aina yake...
UNAWADIA wakati. Tunapopaswa kuzingatia wito fulani. Pale dunia lazima ijikusanye pamoja kama kitu kimoja. Kuna watu wanakufa. Ooh, ni muda wa kunyoosheana mkono wa maisha. Zawadi kubwa kupita...
Halo wadau wa celebrities forum.
Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti...
Licha ya kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii, lakini dili nyingi tunaona zikienda kwa Baba yao pekee.
Vijana wanakwama wapi kwani.
Tembo Mnyama kila siku dili mpyaaa.
Hongera Harmonize...
Huyu ni mtangazaji wa EA pia ni raper wa kike, ila ninaona kama watu hawampi attention anayostahili.
Personally namuona mkali tu na ukitaja maraper wa kike Tanzania ninaona naye anafaa kuwa walau...
Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa na interview ya mkurugenzi wa Clouds Media ndani ya kipindi Bartender kikiongozwa na mtu mbaya Jonijo ndani ya Wasafi TV siyakukosa leo.
Je, kupitia interview...
Nimependa sana video ya Rayvanny pamoja na audio yake, Rayvanny jamaa ni mbunifu sana. Video yake nimependa sana mwanzo wa video wakati Rayvanny amelala na demu wa Buza, wakati Rayvanny...
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay, hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.
Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za...
Huyu jamaa namuelewaga sana anavyoimba, lakini kazubaa sana, anashindwa hadi na wakina Meja kunta, hajui kujiuza ndio maana hata deal za matangazo hapati, huyu jamaa yupoyupo tuu.
Kama mziki...
Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Luc Eymael leo amefunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake Patricia Abbruzzese nchini Afrika Kusini kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya Corona.
Eymael amesema...
Actress and model Elizabeth Hurley, 54, posted a photo to her Instagram stories over Christmas of herself and her son Damian, 17—and the two look like they could be twins. "Christmas walkies,"...
Unahisi Salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa Kibongo.
Mimi nampa Salama 81%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.