Q Chillah amenukuliwa akisema " Mwana Fa acha utoto" . Hii ni baada ya msanii Mwana Fa ambae jina lake halisi ni Hamisi Mwinjuma kujitangaza anaugua maradhi ya Corona. Q Chillah ana amini kuwa...
Huyu mwanamke nampenda sana, anamiguu mizuri sana (vimatege kwa mbali halafu vimejaa nyama) sauti sasa ina kibezi flani hivi, simpatii picha hapo 6x6 anavyolalamika, sura na rangi nayo anayo...
Je, wajua Video ya Diamond Platnumz i miss you remix ile treni kwenye video unayoiona sio treni kweli eneo la tukio(location) hapakuwa na treni ila ni utaalam ulitumika ionekane treni kweli. Na...
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz a.k.a baba lao wakati akiwa insta live akiwasiliana na mashabiki wake wa nchi tofauti tofauti ikiwemo kujibu maswali ya mashabiki wake akaamua...
Napenda muziki. Kuanzia reggae, blues, kwaito, hip hop, zouk hadi rhumba kote huko nimepita ila ladha ninayoipata nisikilizapo muziki wa country sijawahi kuipata kwenye muziki mwingine wowote ule...
Wanajamvi hatimaye msanii Rich Mavoko amepata usajili wake kutoka BASATA huku wakimtambua kama msanii asiyechini ya lebo ya WCB. Awali kulikuwa na mkanganyiko wa kimkataba maana WCB walikuwa...
Kuna msemo usemao experience is the best teacher, msemo huu umekamilika kupitia mama mzazi wa msanii diamond platnums , baada ya kuigiza kama mama ambaye ana maisha magumu kupitiliza,huku akiwa...
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange' aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo...
Aurlus Mabele ni mwanamuziki kutokea congo kinshasa alikua maarufu sana katika band miaka ya 90
Inadaiwa amekimbiwa na mkewe aitwaye Liza ambaye alizaa nae.
Nguli huyu wa muziki wa sokous...
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua...
Huu wimbo mpya wa Z Anto ambao ni diss kwa stamina ni mkali.
Wimbo unaitwa "Mako stamina "
Mako kinyume ameigeuza kisanii akimaanisha "koma stamina".
Z Anto karudi kwa kiki ya stamina I hope...
Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza Diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu...
Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata...
Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer.
Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua...
Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja.
Je...
Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini...
By Sangu Joseph
WAGENI MASHUGHURI
Moja ya vitu vingine ambavyo niliviinjoy sana ni pale kuona viongozi wa kisiasa, wakijumuika na wasanii, wafanyabiashara kuhakikisha Albamu ya #AfroEast ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.