Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

=================== Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Nitangulie kwa kukumbusha kama tujuavyo mapenzi ya kweli ni ngumu sana kuyahamisha toka kwa mtu mmoja...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Nimevumilia hii siku ya nne sasa... Uko youtube vinatokea vitu vya ajabu sana! Ni nini tatizo ni nini kwanini nikifikisha laki 9 viwers wanarudishwa nyuma mpaka laki 8 au 7 hii siku ya nne naona...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Hii title ya Undisputed Champion kiuhalisia sidhani kama kuna bondia yeyote alishawahi kuipata. Undisputed Champion ni yule bondia anayemiliki mikanda yote mikubwa zaidi kidunia ambayo kiidadi...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Mnamkumbuka mkongwe wa Reggae kutoka Ivory Coast, alizaliwa 1953 akiwa anaiwa Seydou Kone. Amefunga ndoa na Bi Aisha mzaliwa wa Tunisi. Alpha Blondy atakua na wake wa tatu sasa. ===== Global...
14 Reactions
28 Replies
9K Views
Msanii tajiri ambae huwa ni msiri sana wa mafanikio yake leo amekiri kumiliki nyumba Amerika pia akaongezea soon atahamishia makazi yake pande za States. Aliyaseme hayo akiwa clouds fm radio...
16 Reactions
548 Replies
63K Views
Bila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada. Jana nimekutana na Hamonize kwenye ndege toka Nairobi kuja Dar (KQ486), kwa maongezi yao na aliokuwa nao inaonekana alitokea SA. Kilichonikera toka...
10 Reactions
59 Replies
7K Views
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo...
1 Reactions
71 Replies
21K Views
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi. Msanii Diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
. By Sangu Joseph . Mwanzoni mwaka huu niliahidi kuandika makala ya kwanini kwa sasa msanii Nandy au African Princess ndiye msanii namba moja wakike Tanzania, ukilinganisha na dada yetu Vmoney...
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Aslaam aleikyum wadau wa hili jukwaa pendwa,I hope mko poa kabisa... Aisee katika pitapita zangu kudekerea ngoma za Bongo fleva katika TV mbalimbali,hiiii Si nikakutana na haka kasanii kamanzi...
1 Reactions
59 Replies
16K Views
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada...
4 Reactions
50 Replies
12K Views
Hashimu Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji, tofauti na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye. Nimekutana naye Msasani leo Ustadhi Hashim, hataki...
10 Reactions
210 Replies
39K Views
Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili. Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Nyota wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha Gladness Mallya NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT...
2 Reactions
46 Replies
9K Views
Nimekuwa shabiki mkubwa wa Baby Madaha lakini nimeacha kumshabikia kwani kwa heshima aliyonayo hakutakiwa kumkejeli Shilole.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake. Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Hii ni moja ya kauli Tata sana aliyoitoa kijana huyu mzee Mengi alikuwa na mke unaingiaje chumbani kwake . Mi sijawahi hata ingia chumba Cha baba zangu wakubwa na wadogo tukiacha Cha baba na mama...
10 Reactions
33 Replies
6K Views
By Sangu Joseph Leo nimekikumbuka kisa kilichonichekesha baada ya kukutana na wimbo wa Aslay Rudi Darasani hasa kile kipande ambacho video vixen anatamba kwamba alienda kuwaona wageni, Akiwa...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Kijana ameanza vizuri huu mwaka Tusapoti vipaji ili tue na wasanii 20 kama diamond Exalioth Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom