Nakumbuka hii platform ilikuja vizuri tukishuhudia wasanii wakipewa mikataba mizuri ya kuuza kazi zao wasafi.com
Cha kushangaza hi site haipatikani nini kiliikumba?
Sent using Jamii Forums...
Ni muda mrefu tangu niameanza kusikiliza kipindi cha Ushauri wako cha Redio Free Africa ambacho maudhui yake ni kama vipindi vingine vingi ambavyo lengo lake ni kuwasaidia watu wenye matatizo na...
Tuliwaambia tokea mwanzo Diamond leo hata zungumzia mahusiano yake. Wambeya wengi leo wameumbuka wametumia MB's zao kwa lengo la kumsikiliza Diamond kuhusiana na tetesi zinazoenea kuhusu kuachana...
Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi...
Wasalaam wadau wa jukwaa hili pendwa na ma'fans wa entertainment in general, I hope mko poa..
Baada ya juzi kusambaa taarifa za kuachiwa huru kifungoni kule China kwa yule video vixen wa ngoma ya...
leo tupo na Nahreel producer na msanii kutoka kundi la Navy Kenzo karibu.
1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa...
Mwadada mrembo kwenye kiwanda Cha bongo movies amesema Mahari yake ni mil 20 kwa mtu anayetaka kumuoa. Mwanadada huyo mwenye sauti ya pekee yenye mahaba ndani yake inayoweza kukufanya umuonge...
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.
Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa...
Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia.
Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila...
Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3):
1. "Ego" -...
HIVI karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imecharuka. Imekuwa ikiwachukulia hatua baadhi ya mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakienda kinyume na maadili ya Kitanzania kwa kutupia picha...
Nadhani alikuwa anatangaza taarifa ya habari kati ya mwaka 2003-2004. Wakati huo Betty Mkwasa alikuwa anatangaza.
Sikumbuki jina kamili, ila nadhani jina la mwanzo lilianza na Irene.
Nakumbuka...
Court bans disco at Masaki bar
THE High Court in Dar es Salaam yesterday banned playing loud music at Bar One, in Masaki area, owned by Mr Kinjekitile Ngombale-Mwiru, son of cabinet minister...
Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote,akaja kwa Rick Rose nako chali,sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa,dogo atafute ukatibu na watu wa maana km kina Jayzee na...
Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi...
Ukiwauliza watu hapa ni msanii gani anaependwa wengi watakwambia ni king kiba, na ukiwauliza ni msanii gani aneperfom vizuri watakwambia ni king kiba Ruby, Aslay etc
Sasa nachojiuliza kwa nini...
Leo katika kipindi chao cha tunanyambua na kunyumbulisha nimesikia watangazaji wenzake akina Gerald Hando na Musa Kipanya
Wakisema kuwa jana yake usiku walipewa taarifa kuwa katika kipindi cha...
Ni mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea
Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.