Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari.
Sasa...
Kiukweli kinachomsumbua diamond Ni hela anazolipwa na you tube , yupo radhi kufanya lolote ili tu apate viewers hata kucheza ngono akaweka you tube.
Na hii ndo sababu hasa inayomfanya siku hizi...
Wcb Wameshuka sa kiuwezo kuna kipindi Walikua Wanatoa hit song kwa ushirikiano wa Harmonize na Diamond ilikua inatazamika kua inaenda kua Moja Lebo kubwa barani Africa.
Ila baada ya kutoka...
Tunapoenda kusherehekea Uhuru wa Tanzania Bara; sina budi kuuliza hivi ni kina nani waliokuwa waasisi wetu na sasa wako wapi na wanafanya nini?
a. Hapa nina maana wale walioshirikia katika...
Sijui alipotelea huyu jamaa? hii nyimbo aliimba na Waziri Sonyo ambaye naye sijui yuko wapi. video ya ndoto tata ni moja ya video ya kibunifu kuwahi kutokea Tanzania.
NIlikuwa naangalia TVT hapa mara baada ya hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa. Mara kwaya ikatokea wakiwa wametilia sare zao za njano na nyeusi huku wakiimba wimbo uliokuwa ukisindikizwa na kinanda...
Naona baada ya vitimbi vya kura za CCM vitimbi vingine lazima hufuatia. Tafadhali soma zaidi hapa chini:
Karume amsaka aliyemnyima kura amkaribishe Ikulu
Na Salma Said, Zanzibar
MAKAMU...
Kama inavoonekana, muda si mwingi wimbo wa Harmonize msanii namba moja Tanzania utakuwa ni The most viewed Tanzanian song of all time. Na siku hiyo Harmonize ndo atakuwa msanii mkali zaidi kuwahi...
Kuna shida sehemu. Kwanini wasanii tunawasapoti sisi lakini wakija kupiga show kwenye mikoa yetu mnawaponda kuwa ni za uchochoroni. Kwanini sapoti tuwape sisi show mpige Ulaya? Mbona Marekani...
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu, naomba kujuzwa kuhusu msanii aliyetamba kipindi cha nyuma kidogo katika tasnia ya Bongo Movie hususani katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
Naomba...
Ukiambiwa WCB ni kama maji usipoyaoga lazima uyanywe, Singeli imefika duniani,
Kupitia ukurasa wa Swizzbeats mume wa alicia keys amepost video ya Yeye na mkewe Alicia keys wakicheza wimbo wa...
Jambazi sugu lisilopigika DEONTAY WILDER au ukipenda muite BRONZE BOMBER au BOOOOMB SQUAD nicknames ambazo amepewa na mashabiki kutokana ma uzito wa makonde yake yasiyo zuilika .
Wengi sana...
Mpenzi wa mchekeshaji Ebitoke ambaye pia ni msanii Simco amefunguka sababu za kukosekana mpenzi wake Ebitoke kwenye party yake ambaye aliifanya huku akizindua wimbo wake mpya na kueleza kuwa...
Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.
Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.
Ameandika bado hajabahatika...
Habarini Wakuu!
=
=
Usiku Wa Jana Majira Ya Saa Moja Na Dakika 45 Wakati Natoka Zangu Mugabe Kwa Miguu Kuelekea Mawasiliano.
Nikawa Nashuhudia Uumbaji Wa Mungu Taratibu Nikitembea Kwa Hatua Za...
Hayo mambo ya 50 percent ya uongo, believe me!
Huyo mama hapo ni Joyce Luhanga ni ndiye alikuwa Mengi’s brain
Jacqueline hana cha 50, 10 1 percent. Joyce yupo tangia enzi za 1980
In Trump’s...
Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Ni Mwanamuziki , mfanyabiashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.