Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea...
Kwa wapenzi wa muvi za Fantasy, Mystery and Adventure basi jina la Johnny Philip Depp almaarufu Captain Jack Sparrows 55, Sio geni kwenu. Kacheza muvi kubwa nyingi duniani ambazo zimezalisha zaidi...
Muonekano wa huyu mwanamama mke wa mkubwa Fella huwa unanipa mkanganyiko maana ni wa kipekee,kwa wanao mjua hebu tujuzeni ni mzungu au ni shombe shombe???
-Ndumilakuwili-
Hawa jamaa nilikua nasikia tuu kua wana bifu ambalo hakuna wa kuamua ila leo nimeamini. Cheki hii verse kutoka kwenye wimbo wa Rick Ross unaoitwa BUY BACK THE BLOCK anamwambia 50 Cent kua "nina...
Ed sheraan wametoa wimbo Mpya unaoitwa put it all on me.kuna kipande kinaonesha mandhari ya Tanzania na Zanzibar,imekaa vizuri sana,kama haujaicheki ingia youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii maarufu wa kundi la Jagwa Music ambaye alikuwa nyota wa kundi kwa sauti yake tamu na Nzuri bwana Jack Simela ametutoka kwa ajali ya gari aliyoipata mkoani Morogoro kwa kugongana na Scania...
Source ;wasafi tv and clouds fm Facebook and YouTube channel
Akitengeneza nyimbo kama
Niache ya Diamond platnumz
Utatulia ya lava lava
Na nyingine nyingi za harmonize
Sababu anasema ni maslahi
SABABU ZA HARMONIZE KUTOKA WCB (Sababu ya ukweli yaani)
Ni baada ya kuchoshwa na maonevu ya blaza aliyechoka kuandika mashairi yake peke yake, na kulazimisha kuingia kwenye kila wimbo wake ambao...
Kama Mungu angeniuliza unaitaji nani nimrudishe dunia mtu wa kwanza ningemtaja huyu dada Regina Luhanga alikufa kwa ajali ya gari kule Korogwe wakampelekea ndege kumleta Dar.
Mungu akampenda...
Leo ametoa wimbo akiwa na mpenzi wake kwangu mimi ni ya kawaida ila ajabu sasa Ndani ya masaa 5.
1.Imekamata number 1 kwenye trending
2.imetazamwa na watu zaidi ya laki 4
Sent using Jamii...
Mwanzoni mwa mwaka wachawi walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kujaribu kuififisha nyota ya Diamond Platinumz lakini Mungu bado amesimama upande wake.
Kwa kawaida Diamond hupata followers si chini ya...
Kuna muda unacheki muvi ni mbaya ila unabidi uicheki mwanzo mwisho kwa ajili tu umemuona mdada fulani humo.. To me I like Badass girl.. Wale wababe, Wana matendo ya kibabe applied in reality...
Aliyekuwa mwendeshaji wa kipindi maarufu Uingereza cha Love Island, Caroline Flack amejiua jana nyumbani kwake London.
Caroline alikuwa ni mwendeshaji wa kipindi hicho kwa miaka kadhaa mpaka...
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na...
1.MAPENZI NA NGONO:Ngono ni moja kati ya sababu kubwa za mtu hasa wanawake kuingia kwenye industry.Kama mdada ana makalio makubwa, nyonyo za kueleweka na factors nyingine zenye kuamsha tamaa za...
Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya...
Hizi ni shots ambazo ziko kwenye movie ambayo inategemea kutoka muda si mrefu!
wasanii bado wako location, lakini, wewe kama mdau wa sanaa, una maoni gani kuhusu hizi shot chache zilizopigwa...
Mwanadada asiyeishiwa vituko Wema Sepetu (Tz sweetheart) baada ya kuamua kupunguza umbo lake huu ni muonekano wake mpya. Baadhi ya mashabiki zake wengine walimsifia kwa uamuzi aliochukua na...
Jana wakati nimeenda account ya insta ya Professor Jay nimeona amerusha show yake live aliyofanya Congo. Jamaa amejaza uwanja na amepiga show ya kufa mtu. Honestly nimefuraishwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.