Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

ile Show maarufu ya UniTalent imepata Tunzo kubwa duniani katika tasnia. Tunawashukuru waanzilishi wa show hii ikiwemo Madam Ndauka, Dr. TID. Pamoja tunaweza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muziki ni industry pana san ambayo imekusanya kila aina ya wasanii wenye vipaj na wenye juhudi pia lengo kuu likiwa ni kumlenga mlaji(msikilizaj). Pia mziki ni biashara pana ambayo inamuhitaj...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Naona Wcb Mnaendeleza roho mbaya Fanyeni mziki, Mmemshindwa king kwenye ndumba, Mmeamua kuwekeza kwenye Upande wa IT
2 Reactions
139 Replies
13K Views
Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna. Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae? Wawili hawa wamefariki dunia kwenye...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Wasalaam wana jamvi! Ni ukweli ulio wazi kabisa Msanii Harmonize amefanikiwa kuweka historia ambayo pengine wengi wetu hatukutarajia kabisa kama Harmonize angeweza kufanya uzinduzi mkubwa namna...
17 Reactions
113 Replies
14K Views
Kamaa hali ndioo hii Mil 50 30M mnabaki Nazo ATI promo Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee Atakuwa busaraa kama huyu analipwa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Acha hii mikikimikiki ya COVID itulie hali irejee kama kawaida watu tukatafute bahati. Kobe Bryant ni rafiki yetu lazima tumlindie familia yake hapa duniani pamoja na dolla million 800 alizoacha.
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama instagram. Mose Iyobo na Aunt Ezekiel wamefanikiwa kupata...
6 Reactions
84 Replies
19K Views
Wale wote mlio kua mnamringanisha Alikiba na harmonize inabid mjitasmin Tena kwa matukio haya harmonize katoa album yenye nyimbo 16 na uzinduzi mkubwa wa garama but haku trend kiivyo album mzima...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Haka kadada kamekua maarufu masaa machache baada ya video Mpya ya Diamond “Jeje” kutoka. Umaarufu wake unazidi kuongezeka saa hadi saa kutokana na umaridadi wake wa kukatika na kucheza kwa...
8 Reactions
57 Replies
18K Views
Mwaka 2017 Allikiba na Baraka de prince ni miongoni ya wasanii waliyolalamikia kuhujumiwa video zao Youtube kwa kusababisha views ku stuck na kuto ongezeka na kupelekea management ya.Alikiba...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia. Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi. Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano. Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee. Tanzania...
9 Reactions
186 Replies
25K Views
Huyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi? Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida? Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema...
8 Reactions
139 Replies
21K Views
Habari wakuu! Huku wengine wakiendelea kujivunia kuchora mitattoo ya bei ghali na meno ya dhahabu. Msanii wa kimataifa Alikiba yeye aendelea kuitumia vyema karata yake baada kupata Shavu la sony...
13 Reactions
283 Replies
59K Views
Kwenye haya maisha kuna uncertainties nyingi, Leo ww tajiri, kesho ww kapuku, reginald mengi angefilisika, angechekwa na kusemwa vibaya na hao hao watu aliokuwa anawasaidia.. Wanasema ukisaidia...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Msanii Robert Kelly maarufu Kama R. Kelly ameomba kuachiwa akihofia kupata maambukizi ya virusi vya korona katika Gereza la Metropolitan Correctional Center (MCC) Chicago. Hivi karibuni majaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiukweli huyu jamaa kwa sasa ni shida, Anashoot video zenye ubunifu mkubwa na bora sana. Kumbuka miaka michache iliyopita tulikuwa na Adam Juma lakini kwa bahati mbaya wakati wasanii wakipiga...
7 Reactions
94 Replies
22K Views
Anaenda kutambulishwa ukweni kwa wazazi wa Spice ambaye ni mpenzi wake mpya
1 Reactions
82 Replies
10K Views
Mimi hapana kabisa. Kibongobongo mwisho wa maisha ya ustaa kwa asilimia kubwa huwa mabaya sana ya kutia huruma. Nimeanza kufatilia sanaa ya bongo (muziki/muvi) tangu miaka 90 mwishoni lakini...
5 Reactions
112 Replies
8K Views
Back
Top Bottom