Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii...
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake...
Mtoto Mrembo, mwenye sauti nzuri, kipaji cha utangazaji na fighter wa maisha usiyeishwa na skendo. Nimehuzunishwa sana kujua umepitia maisha ya unyanyasaji, kukataliwa na kudharauliwa! Pole sana...
Baraza la Sanaa Tanzania lamfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu Kama "Dudu baya" kwa kosa la kutumia mtandao wake wa Instagram kuwatukana wadau wa mziki.
Hivi karibuni msanii huyo...
Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.
Hii sio mara ya kwanza kwa...
Kama ilivyo heading wana Jf wenzangu
Tuweke umri Elekezi wa mastaa wa bongo kama unavyowafahamu.
Tunaweza kuwakadiria kuanzia kwenye kazi zao zile za kitambo mpka sasa .
Lengo la Uzi huu ni...
Tumeshasikia kitu wanaita ujasiliamali wa maudhui (content enterpreneurs), hii ikoje?
Hii ni biashara kama biashara zingine na wengi wanafanya na wanapiga mpunga wakutosha. Kuna baadhi ya wadau...
Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana...
Jamani sasa bidada roho inamuuma yeye mwanamke na K yake pamoja na kudanga kote mpaka China ila bado maisha magumu, Sasa anamuonea wivu Ommy dimpoz kutoa tigo tu maisha kayapatia kama...
01.KENEDY THE REMEDY
Jamaa ni presenter mzuri,hatumii nguvu nyingi kupresent,lakini ni UNDERRATED SANA
02.MALKIA KAREN
Huyu mrembo ana uimbaji fulani mzuri sana lakini ni UNDERRATED sana...
Wakuu sijui hii ni dalili ya mwisho kwa wacko au bado ana "nine lives??"
MICHAEL JACKSON is battling a genetic disease that has left him half blind and needing a lung transplant, it was claimed...
Salaam wana JF
Natumaini wote ni wazima wa afya na poleni na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sina budi kurudia rudia.
Mnamo 29/11/2019 huko south Africa ila jina...
akifunguka mahaba yake kwa mtangazaji wa Cloudsfm alikiba amekiri kumpenda sana Diva na kuongezea amekuwa akimsapoti kwa muda mrefu sana ni mtu wake wa nguvu, tizama video hio apa.
Ikumbukwe...
Mtangazaji Maarufu Star wa Cloudsfm Radio Diva amefunguka Dai la Baadhi ya Team Diamond Kusema Kuwa Alikiba ana Mke (ambae inasemekana wametalakiana) na aache shobo za Kumpost , amekaa na...
Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.
Diva amesema kuwa...
tukiendelea kuletea mtiririko wa matukio ya Diva na show yake Mpya Youtube Divathebawsetv ameulizwa na mashabiki zake kwamba je ameona show ya Mfalme Alikiba Zanzibar.
Diva amejibu ameona...
Akiongea kwa kicheko baada ya mashabiki wa mtandao wa twitter kumuuliza Diva kama mwanaume wake kwanini hamind vile anavyokuwa anamsifia alikiba.
Mtangazaji huyo wa kike toka cloudsfm anga za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.