Je kuna ukweli wowote wa hizi tetesi kwamba vijana hao wamejitoa kwa sababu zuchu tayari kashaanza kuorodheshwa katika kinyanganyiro cha machipukizi bora na kuwa trending huko youtube...
‘Kings Music ni kama chuo, vijana nilikuwa naishi nao kama ndugu zangu, tumefundishana palipokuwa pana upungufu, nadhani now wamejiona wamehitimu wakaamua kuondoka.’
‘Walinifuata jana usiku saa 8...
Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikuhizi hakuna hajuba ushirikiano, biti zima...
Kwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo
Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.
Tuzo, Mziki mzuri, shows za...
Wasalaam Ndugu zangu, I hope mko salama.
Huu uzi sitaandika kwa Ngareroo slangs maana nna jambo la muhimu la ku'share nanyi, hii ni kutokana na watu wengi hasa wale wasio wa Arusha kutoielewa...
By Sangu Joseph
Kwa mara nyingine tena naomba nimzungumzie Bwana Konde Boy (Harmonize), lengo la kuchambua hili ni kuchagiza tu kwenye game ya BongoFleva, si kumkosoa mtu yeyote Ila tunamchambua...
Habarini!
Poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali!
leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01...
Bongo land hii pametokea watu ambao walikuwa wasanii ambao pia walikuwa na sauti nzito kweli kweli kwenye kurap, wengine walikuwa wanajifanyisha, wengine ni za kwao za asili, je kati ya hawa nani...
Mashabiki wa Ali kiba msinichukulie vibaya
Mi pia Ni shabiki kindakindaki wa Ali kiba
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia interviews za Ali kiba
Mwanzo nilihisi jamaa ana mashauzi na kujiona...
Miongoni mwa mademu ambao napata sana uchu wa mapenzi kila nikiwatazama ni huyu mwanadada Rashida Wanjara ambaye aliwahi kuwa miss Mara mwaka 2000 pia alikuwa Miss TZ ambapo alishika nafasi ya...
Msanii mpya wa kike wa WCB leo atazindua EP yake baada ya kutoa single song yake ya "Wana" ambayo Hadi sasa Ina viewers million 1+ kwa siku 2 Pekee nakuwa msanii wa kwanza wa kike ambayo ngoma...
Faith Evans alikuwa mke wa rapa Notorious BIG ambaye alitambulika kuwa hasimu wa Tupac Shakur.
Hamisa Mobetto alikuwa mpenzi na aliishi kinyumba na Diamond Platnumz ambaye inafahamika ni hasimu...
Amepata mke wa kizungu ambaye yuko siriazi na penzi na ambaye anamsapoti sana kwenye kazi zake za muziki, ikiwemo suala zima la kifedha. Kijana anaamua kumuumiza mkewe kwa kurekodi wimbo wa...
Nilikuwa napitia taarifa za msanii Nandy, japo kuweza kujua wasifu wake. Nilipofika hiki kipengele nilishindwa kukielewa kwa kweli. Maana hapa zinazungumziwa controversies za Nandy Ila maelezo ni...
Wana jf.
Miaka ya nyuma kulikuwepo waburudushaji mmoja mmoja kwa wakati wake, lakini hatuwezi kuacha kuwakumbuka King Jibinso na Small Jobinso, wakati wakijiaanda kuingia jukwaani, huku nyuma...
Kuna wimbo yake inaitwa Niko Poa (Barua) na nyingine inaitwa Furahia. Huyu jamaa nilikuwa namkubalia sana na mwenzake Jua Cali. Sijui siku hizi wapo wapi?
Kwenye wimbo wake wa NIPO POA kuna...
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoendesha mashindano ya kusaka vipaji kwa wasanii wa muziki maarufu kama Bongo Star Search...
T-Motion ilianza rasmi katikati ya mwaka 2014 ikiwa na idara mbili 1) Music audio ikiitwa Tumanyene records 2) Video production ikiitwa T-Motion films works. Baadaye katikati ya mwaka 2015...
Jina halisi: Nasibu Abdul.
Umri: 30 years.
Mtanzania maarufu zaidi huko duniani.
Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania.
Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.