Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Description Andrew Jack was a British dialect coach and actor from London who had worked on over 80 motion pictures since 1982. Born: 28 January 1944, London Died: 31 March 2020, Surrey Spouse...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee. Namkubali Sana huyu bi_dada popote...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Wakuu niwe mkweli tu huyu kijana mziki anaweza sijawahi pata ona.. Ule uwezo wake wa kunata na beat yoyote kwa melody ile ile bila kushuka.. Ni kipaji tosha.. Sasa kwanini basi anakuwa...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia huyu Mrs Janjaro ili nijue chanzo chake cha mapato ni nini haswaa maana nimemfuatilia weeee nimeambulia patupu nimeona nije kuwashirikisha humu...
6 Reactions
134 Replies
35K Views
Habari za kazi waungwana!!! Huu ni mwaka wa uchaguzi mwaka huu unaweza ukawa neema pia kwa wasanii wetu mfano 1. Diamond WCB anaweza? Jimbo gani 2.Harmonize Konde boy jimbo gani? 3.Ally s...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimemkumbuka tu huyu dada, nilikuwa napenda sana kumuangalia enzi zile. Hivi yupo wapi Siku hizi? aliacha kazi Star TV?Mwenye kufahamu anijuze tafadhali. Dah! Star TV mmeondoa watangazaji...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari JF Watu baadhi walikuwa wakizusha, kuwa Alikiba anatumia huruma ya Watz , hili kuendelea kusumbua hapa Tz. Lakin sio kweli msanii Alikiba amejaliwa sauti nzuri yenye mvuto wa aina yake...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
UNAWADIA wakati. Tunapopaswa kuzingatia wito fulani. Pale dunia lazima ijikusanye pamoja kama kitu kimoja. Kuna watu wanakufa. Ooh, ni muda wa kunyoosheana mkono wa maisha. Zawadi kubwa kupita...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Halo wadau wa celebrities forum. Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Licha ya kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii, lakini dili nyingi tunaona zikienda kwa Baba yao pekee. Vijana wanakwama wapi kwani. Tembo Mnyama kila siku dili mpyaaa. Hongera Harmonize...
5 Reactions
118 Replies
13K Views
Huyu ni mtangazaji wa EA pia ni raper wa kike, ila ninaona kama watu hawampi attention anayostahili. Personally namuona mkali tu na ukitaja maraper wa kike Tanzania ninaona naye anafaa kuwa walau...
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa na interview ya mkurugenzi wa Clouds Media ndani ya kipindi Bartender kikiongozwa na mtu mbaya Jonijo ndani ya Wasafi TV siyakukosa leo. Je, kupitia interview...
6 Reactions
309 Replies
38K Views
Nimependa sana video ya Rayvanny pamoja na audio yake, Rayvanny jamaa ni mbunifu sana. Video yake nimependa sana mwanzo wa video wakati Rayvanny amelala na demu wa Buza, wakati Rayvanny...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay, hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki. Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za...
11 Reactions
119 Replies
18K Views
Huyu jamaa namuelewaga sana anavyoimba, lakini kazubaa sana, anashindwa hadi na wakina Meja kunta, hajui kujiuza ndio maana hata deal za matangazo hapati, huyu jamaa yupoyupo tuu. Kama mziki...
7 Reactions
84 Replies
8K Views
Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Luc Eymael leo amefunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake Patricia Abbruzzese nchini Afrika Kusini kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya Corona. Eymael amesema...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Actress and model Elizabeth Hurley, 54, posted a photo to her Instagram stories over Christmas of herself and her son Damian, 17—and the two look like they could be twins. "Christmas walkies,"...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unahisi Salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa Kibongo. Mimi nampa Salama 81%...
6 Reactions
151 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…