Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hili game linaweza kusitisha mkataba wako wa kuwa superstar ukianza kutoa ngoma kwa kusua sua mashabiki wanahamia kwengine. Sijui ni kipi kinaendelea lakini Ali amepoa mno, Yale ya "unikome"...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni kutoka makao makuu youtube kwamba wasafi yaongoza barani africa hongera wasafi. Sent using Jamii Forums mobile app
16 Reactions
57 Replies
6K Views
Baraza la sanaa limemfutia msanii Godfrey Tumaini "Dudubaya" leseni, kwahiyo hatakiwi kujihusisha tena na muziki. Mwanzoni msanii huyo alitoa kashfa tofauti kwa kutumia clips za video kwenye...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Hii video ilivyotengenezwa imeniacha mdomo wazi na wala sichoki kuiangalia, Wanasema kuna vitu ameiba lakini niseme tu kwamba ubunifu uliotumika hapa ni wa kiwango cha hali ya juu sanaa...
15 Reactions
61 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi wakuu Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama. Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Music industry ina vituko vingi. Kiba anajiheshimu, Konde Boy anatafuta maisha Mondi naye kadhalika, sijui hizi conflict za sisi wasikilizaji zinatoka wapi. Moja, Pili, msikiti kwa wale wenzangu...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
5 Reactions
60 Replies
9K Views
Kuwa mjanja mdogo wangu. Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump. Kuwa makini Diamond.
6 Reactions
85 Replies
8K Views
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha, Hivi huko pia ni asili ya baba yake. My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue...
6 Reactions
77 Replies
14K Views
Its without a doubt K. Dot a kid from Compton Cali is a hot rapper and hence has managed kurudisha ushindani katika hiphop game. Da kid is lyrical, conscious na unaambiwa wakati yuko high school...
5 Reactions
96 Replies
9K Views
Wakati akifanyiwa interview kwenye kipindi Cha block89 Cha Wasafi fm Hemedi amesema yeye apendi kuoga na niliwahi kukaa mwezi 1 na nusu bila kuoga na ninapiga mademu Kama kawa.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wengi wanadhani mwanamziki Ali Kiba hapendi makuu au hapendi kujionyesha, lakini hili si kweli. Huyu mwanamziki kwanza ni mbinafsi sana, ana majivuno na mwenye wivu sana. Mifano ni mingi kuonyesha...
15 Reactions
38 Replies
5K Views
Kuna msemo wa kiswahili unasema ukifuga chatu uwe na unga wa kumlisha, kwa maana ukiishiwa unga atakugeuza wewe ndio msosi wake. Hii ni sawa na team ya Wasafi wanavyomuendekeza Dudu Baya aka...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi mkubwa unaoendelea chini kwa chini kati yake na mtangazaji Diva The Bawse anayeendesha kipindi cha Ala za roho kupitia...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Na Musa Mateja Kitendo cha njemba ambaye jina lake halikunaswa mara moja cha kumchezea makalio staa wa Kiwanda cha Muvi Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa', kimezua mtiti wa haja na...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Mdogo una shida sana kwa masuala mawaili 1. Udini 2. Uccm 1.Mdogo wangu diamond unasifika sana na sidhani km utashuka leo wala kesho. Wewe ni celebrity unapendwa na wote wakristo kwa waislamu...
19 Reactions
107 Replies
13K Views
ANDIKO LA KUTOKA GAZETI MAARUFU DUNIANI FORBES LIKIMUONGELEA JACKLINE NTUYABALIWE MENGI NA MAISHA YAKE YA BIASHARA. Malkia wa Urembo kutoka Tanzania Anayejenga Himaya ya Samani Akijivinjari...
2 Reactions
53 Replies
10K Views
Mwanamuziki Christian Bella na bendi yake ya malaika bendi hivi sasa wamekuwa matapeli. Jana ktk mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya,Christian Bella ilikuwa atumbuize ktk Hotel ya Kisasa iliyopo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
kule kulikuwa na chimbuko la vipaji sana hasa wa muziki wa kizazi kipya hapa tz,kuanzia wana chamber squard mashadaz wamashamba, kina aliko,baf markz,dkluu,paco b,magazzine Sijui sikuizi wapi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…