Nowdays tunakosa vitu vingi toka industry sanaa in general.Tunakosa songs ambazo zinareflect our reality, zinareflect real life situations Like mentioned one hapo juu
The song imekamilika...
Kuna wimbo mmoja hiv unasikika Sana mtaani ni wa bongo fleva umeimbwa na mwanamke na mwanaume na moja Kati ya mistari ya huo wimbo ni
"Naisi kuibiwa, nachanganyikiwa"
"Nimechoka kusubili,mbona...
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kuna ngoma imeachiwa hewan huko ya nandi ya ommy dimpoz lakin ukweli tu ni kwamba goma ni kali sana video nzuri...
Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo...
Katika pitapita mitandaoni nimekutana na hili....
Wakenya wako vizuri sana hawa majirani zetu.
Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan? Scooper - Entertainment News: Is Singer Nandy Really...
Kwanza kabisa na mpongeza kwa kufikisha miaka 10 ya mziki wake SI rahisi kuwa on top kwa miaka hiyo yote lakini huyu mwamba kaweza.Haya ni baadhi ya mambo aliyofanya kwenye kipindi chake chote Cha...
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa mijadala ya vijana wakijaribu kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba, nionavyo mimi kwa mahali alipofika Diamond, hakuna msanii wa kulinganisha naye kwa hapa...
Umaarufu (Fame) wengi tuna matamanio ya kuwa watu maarufu katika sehemu tunazoishi ila kwa bahati mbaya mambo yanakuwa yanaenda vice versa once nakumbuka nilipokuwa nasoma nilipata wakati mgumu...
Msanii aliyelelewa na kutengenezwa kwenye record label ya Wasafi, Harmonize aka Konde Boy sasa ametangaza vita na Wasafi.
Ametumia page yake ya Instagram kuishambulia show ya boss wake wa zamani...
Hello fellas
Kwa wanaofuatilia kinachofanyika leo Tandahimba
Naona Jeshiiii kaamua kulipa sasa, kijana naona
Anaanza kutisha maana kaanza kwa vitisho.
Nimeona imetolewa kafara na kufanyiwa...
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!
Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk...
Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo...
Wana JF Heri ya mwaka mpya.
Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba.
Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii...
Jana niliskia kua Msanii Diamond amepenga kujenga msikiti mkubwa tu hapo tandale na kwamba amenunua uwanja mkubwa sana hapo tandale na kama haitoshi wakasema kua amepanga kuigeuza Tandale kua...
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya.
Maamuzi hayo ni kufatia...
NIMEONA andiko la Mrisho Khalfan Ngassa mitandaoni. Ni andiko flan hivi ambalo lina vimelea vya kujitilisha huruma. Alichofanya huo ndo uzalendo mkubwa kwa timu yake. Wachezaji wote wangekuwa hivi...
Habari wakuu, niende moja kwamoja kwenye hii habari.
Taarifa zilikuwa zikienea kuwa nyota huyo wa muziki duniani mwenye umri wa miaka 61 amekuwa akitoka na kijana huyo ambaye ni mnenguaji wake...
December 31, 2019
Johannesburg,
Republic of South Africa
31 Dec 2019
South African singer-songwriter Yvonne Chaka Chaka has been deported from Uganda. She'd been invited to perform at New Year...
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni...