Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu. Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza...
11 Reactions
110 Replies
23K Views
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu...
11 Reactions
59 Replies
8K Views
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu. Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno. Shetani bhana Sent using Jamii Forums...
11 Reactions
76 Replies
6K Views
Kwa wanaojua ladha ya muziki...vipi ingefanyika production ikiwaunganisha wasanii Hawa wawili...Simi(Nigeria) na Saida Kalori(Tanzania) Audio production ifanywe na Mika Mwamba na Maneke Sent...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika jamii yoyote ile ya watu, kuna baadhi ya watu ambao ni mabingwa wa kung'ata na kupuliza , akiwa na wewe atakusifia na kukupa kila aina ya sifa na kujifanya ni mwema sana kwako na kuwaponda...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kunaile tabia ya kutoa comments kwenye kurasa za kijamii hususani kwa mastaa haswa pale wanapofanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na imani zetu mara nyingi unakuta tunawakumbusha utaona mtu...
2 Reactions
1 Replies
998 Views
Wanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona...
3 Reactions
82 Replies
17K Views
Congrats to brother and my role model Zitto Kabwe.
16 Reactions
137 Replies
20K Views
Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Aliyekuwa Mshiriki No 13 Meshack Fukuta ndio mshindi wa Bongo SS kwa mwaka 2019 Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Bongo star search imefikia hatua ya mwisho yaani final ya season ya mwaka Huu na tumeshuudia wasanii watano wakali wamebahatika kuingia kwenye final ambao ni meshack, Frank, leonard, Patricia na...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Huko youtube wasanii wa marekani kama kina chris brown wakitoaga video, masahabiki huandaa video za uchambuzi aidha kukosoa au pongezi kama kile kipindi salama jabir wa eatv alivyo kua akifanya...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana. 1. Mbunge. 2. Msanii mwenzao Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji. Kama...
8 Reactions
42 Replies
6K Views
Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ambaye alistaafu lakini ametangaza kurejea kwenye ndondi tena, ndio mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…