Huyu jamaa siku hizi naona hafanyi mixing Kali Kama zamani.
Yaani labda naona ufanisi wake umepungua. Muda mwingi planet bongo anakuwa dj dea ata kule fnl. Sijui kwanini.
Huyu summer...
Mwanaume Alivyotumia Sura Mbaya Kupata Umaarufu, Marafiki
Imeandikwa na Kaanaeli Kaale; Tarehe: 14th September 2009
Masoud Sura Mbaya kama anavyojulikana sasa ni msanii ambaye alivuma miaka...
Leo Mendez amefanyiwa interview na Dizzim online Tv....hii ni kama response ya Bartender ya juzi kati ya Kusaga na Jonijo...japo pia mambo mengi yamekua discussed ndani kuhusu safari yake kwenye...
Inasadikika Martha Mwaipaja kaachana na mumewe
Kisa cha kuleta huu uzi ni kuelezea ninachokiona kwa waimbaji wa Muziki wa Injili hasa hawa wa kike.
Kadri mwanamke anavyokuwa na Jina kubwa...
Diamond Platnumz alitosa kusainishwa na label inayomilikiwa na Jay Z, Roc Nation
Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, staa huyo alisema hiyo ni moja tu ya label kubwa za...
Hope mko poa tuendelee kudadavua..
Ingawa wengi tumezoea kuona story teller wengi ni wafanyaji wa miondoko ya kufoka (hip hop) hasa kule USA, na hata hapa Bongo kuna watu walijaribu kuifanya...
Katika Maisha lazima tujiandae na Mabadiliko tusiyo yatarajia. Hivyo hata katika Muziki wa Kibongo wasnii wanapaswa kuishi kwa maandalizi. Hata Diamond amabaye ni nguli wa hizi kazi naye lazima...
Kwangu me hii ngoma ndio ngoma yangu Bora kwa mwaka huu.Wakati maua sama ametoa iokote nilizani amebahatisha hi ngoma ilikuwa kubwa sana kuliko jina la maua sama nikajiuliza je ngoma inayofuata...
Kazi hufanyi, hutaki kutokwa jasho, umekaa kaa tu bila kujishughulisha halafu unataka watu wakupe pesa, wewe nani?
Wazazi wake hawakujui, kwao hutaki kwenda, mmekutana tu barabarani halafu...
Nyota wa Muziki wa Rhumba (DRC) Mzee Simaro Lutumba (Micra Jazz 1958, Congo Jazz 1959/60, TP OK Jazz 1961-1993, Bana OK 1994-2018) wiki hii anastaafu kupiga muziki (umri na matatizo ya miguu)...
Wadau nauliza hii kutokana na kuendelea kufa au kuzorota kwa miradi ya kibiashara ya wasanii wetu mastaa nje ya fani zao zilizowapa majina.
Biashara ya Lady Jaydee mgawaha wa Nyumbani Lounge ...
Huyu nae mxieew toka uolewe huko Kenya hatupumui, yan janaume zima linajishaua na pesa za wanawake, yan katika wasanii niliokua nawaona na gentleman ni Ben Paul , kumbe na yeye nae Ndo wale wale ...
Age 26
Hometown Dar es Salaam
Occupation TV Broadcaster
Biography Tune in on Sunday 1 May to get Bhokes full profile.
Show itaanza may 1.... Haya kazi ni kwetu kumpa support dada yetu!
Dellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.
Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo...
Kila anayehojiwa na Mtangazaji ' Critical ' na ninayempenda na kumkubali kabisa Siza wa Cloudstv 360 on Saturday wakiwa ' mubashara ' kabisa kutokea Mlimani City kuwa aelezee Historia ya Mafanikio...
Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa...
Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo.
Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake...