Kuna baadhi nawajua tangu kitambo kabla hawajawa mastaa, kuna wengine nishakutana nao kwenye maeneo ya kistaarabu kama vile wakiamka baada ya kulala misibani ;
1. Elizabeth Lulu
2.Kajala(enzi...
YALIYOJIRI @ WOMEN'S TEA PARTY – NACKY ASUTWA…
Eeeeh jamani, yani kidogo tuukose huu umbea jamani wadada wa mujini jinsi wanavyopenda kuficha drama zao…hahahaha Basi mmoja wa...
Ni vijana kutoka pande za Mwenge waliotamba na ngoma kali ikiwemo iliyovuma sana ya T-shirt na Jeans. Ningependa kujua walipo na wanachofanya kwa sasa. Wajuvi tujuzeni.
Producer wa Kenya aliyeibiwa beat na Harmonize amtaka Harmonize aombe msamaha la sivyo atafuta hata audio ya Uno baada ya video kufutwa, pia ataenda mahakamani kudai haki yake.
HAKUNA ubishi kwamba Cassper Nyovest ni miongoni mwa marapa wakubwa zaidi Afrika Kusini kwa sasa kutokana na mafanikio aliyoyapata kwenye muziki toka mwaka 2009, alipoanza kujulikana zaidi.
Kwa...
Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania naseeb Abdul a.k.a baba lao amesema atakuja na kitabu chake kinachoelezea maisha yake binafsi na hii imekuja baada ya mashabiki wake kukuuliza leo kwenye...
Kama ni kweli majizzo kazaa na Salma Msangi basi naomba niseme Majizo kashindikana tabia, Maskini Lulu na uzuri wote ule bado mwanaume kaenda kuzaa na mtu mwingine
Habari zenu
Ili nijukwaa la celebrities Leo nimeamua nije na hii hoja kwenu.kati ya wasanii ninaowakubali Tanzania kimziki kiba ni mmoja wapo lakini nje ya mziki wake simkubali.Leo wakati...
Baada ya ndoa yake na Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Bunge la JMT ndugu Sadifa kuvunjika,sasa Wastara apata bwana mpya na amekwisha tolewa mahali
Kweli huyu dada ana nyota ya kuolewa,ikizima...
JACKUELINE NTUYABALIWE IS THE MOST BEAUTIFUL WOMAN IN THE WORLD - TEDDY KALONGA...
.....JF Members what is your comment on the above statement....
Hapo akiwa na Hoyce Temu
Nimeangalia wasanii wakubwa wa Afrika wakielekea Dubai kwenye show ya kihistoria. Nimejaribu kupepesa macho sijaona jina la Kiba. Tanzania kuna Diamond, Harmonize, Mdee na Nandi.
Je, huu mwamba...
Na Mwandishi Wetu/Ijumaa
NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina mkanda kamili.
Mwigizaji wa filamu za...
Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.
Hili suala la...
Elizabet Michael (Lulu) akiwa kulia
Dar es Salaam. Wacheza filamu, Jackline Wolper, Elizabet Michael (Lulu) na Shamsa Ford wamesema mpango wa kuunganisha vyombo vya kusimamia sanaa nchini vya...
Eti hamornize kamuimba kwa nyimbo yake mpya ,bibie wolper bibi wa viben10 kamwaga mapovu hayaaa [emoji116][emoji116][emoji116]
nyie watu kama mnapendana rudianeni ,,sasa wolper umejuaje...
MBILI sifuri sifuri kenda (2009), aliamua kutugeuza njiwa. Bi mkubwa Patricia Hillary, yeye alimtuma njiwa” apeleke salamu, ila yeye akatutuma sisi, eti tukamwambie jinsi ambavyo bado anampenda...
by 8020fashionsblog
Wema jana mida ya saa nne usiku hivi alipost picha zake akiwa amevaa this dress kutoka kwa Mac Couture akiwa anaiita hii gauni master piece.
The dress is not a master piece ni...
Jumapili njema
Leo nimeamua kuja na hoja kidogo kama nilivyoandika hapo juu asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa hawalitendei haki hilo neno hasa mtandaoni, wamekuwa wakileta tafsiri isiyo sahihi...